rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. G Sam

    Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama. Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari. Ni kweli kuwa kwa muda wa...
  2. C

    Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

    Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii. Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa...
  3. J

    Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  4. Freddie Matuja

    Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  5. J

    Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  6. G Sam

    Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kura kuwa ni zaidi ya lulu ever!

    Ndiyo, Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka huu kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nikamchinje mtu huku namkodolea macho kodoooooo! Ni kweli kuwa ndani ya utawala huu wa Rais Magufuli ndiyo nimeanza kuonja...
  7. Sky Eclat

    Baadhi ya matukio ya kukumbukwa katika miaka mitano ya Utawala wa Rais Magufuli

    Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki. Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela. Sugu akiwa mtoto...
  8. S

    GE2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana). Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na...
  9. cblhbn

    Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  10. J

    GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  11. Mongasa

    Serikali tuonee huruma, mwajiri wetu wa zamani hakupeleka mafao yetu kwa mujibu wa Sheria

    Natanguliza zangu nyingi shukrani kwako Mh Rais kwa mengi unayofanya kwa ajili ya Wananchi wako, pamoja na hayo kuna mambo mengi aidha watendaji wako hawakuambii au wao ni sehemu ya uozo huo. Yapata miaka zaidi ya miwili tunahangaikia kufuatilia pesa za michango yetu ya hifadhi ya jamii ambayo...
  12. Kennedy

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  13. B

    Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
  14. feyzal

    GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  15. Dam55

    GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  16. Analogia Malenga

    Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

    Fadhili Silwimba, mkazi wa kijiji cha Nzoka Wilayani Momba Mkoani Songwe, amehukumiwa kulipa faini ya shillingi Millioni 5 au kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukutwa na hatia ya kumtusi Rais Wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Magufuli katika mtandao wa Facebook. Hakimu Mkazi...
  17. K

    CCM wazalendo, mwambieni Rais Magufuli arekebishe haya mapungufu

    Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa. Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM. Kwanza mtangulize nia njema na muwe...
  18. GeoMex

    Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Rufiji aliyemdanganya Rais atupwa Lupango

    Napenda kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kugundua kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Brighton Kilimba alitoa taarifa za uongo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli kuwa gari ya wagonjwa ya Kituo cha Afya Ikwiriri haiwezi...
  19. Troll JF

    IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  20. GENTAMYCINE

    Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
Back
Top Bottom