rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Zamani maisha yalikuwa rahisi; ukibishana na mtu mnakutana watu wawili mnayamaliza

    Lakini hizi njia za kutanzua matatizo zimekuwa out of fashion. Siku hizi watu wamestaarabika au, ndio tunavyofikiri? Tunadhani watu hawagombani siku hizi lakini hakuna kilichobadilika. On the one hand watu wanapigana na marungu kama savages wa zamani au siku hizi wanapigana na silaha za kisasa...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

    Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote. Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Siyo rahisi kumfahamu Mwanaidara

    Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara. Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuwaibia Wajinga ni rahisi na inafurahisha sana

    Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri;(Itikieni: Kazi iendelee). Wizi sio mzuri lakini kuna Watu watanicheka na kusema huyu anaongea nini. Anyway! Inategemea na Aina ya wizi, hapo vipi? Lakini Mimi ninajua wizi ni wizi tuu! Mmmh! Hapana wizi hauwezi kuwa wizi tuu! Upo wizi mzuri na upo wizi Mbaya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kuku kwa bei rahisi

    Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania. AHSANTENI
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Si jambo rahisi kuzuia maovu

    Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo. Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  9. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

    Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

    Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana! Shalomu Tanzania! Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa amri ya kuwauwa watoto wote wa kiume waliotokana na wayahudi wahamiaji wa Kiisraeli katika nchi...
  11. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  12. Alfatonics

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Hp Elitebook 840 G5 kwa Bei rahisi

    Tumekuletea hp Elitebook 840 G5 Processor: Intel® Core™ i5-8350U vPro™ processor (1.7 GHz base frequency, up to 3.6 GHz with Intel® Turbo Boost Technology, 6 MB cache, 4 cores) Ram 8gb SSD 256GB Display 14" Refurbished PC Bei yake ya offer Ni 750,000 tu Ni refurb zenye clean condition kabisa...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya makampuni ambayo ni rahisi kuingia nayo katika busines venture!

    In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu, Je venture, au...
  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki. Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
  15. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Njia 3 Rahisi Za Kukusaidia Kuhakikisha Unadumisha Upendo Wa Mwanamke Wako

    Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani. Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika. Lakini ukweli ni kuwa...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kujifunza ushirikina kama utakuwa mfuasi wa waganga wakienyeji

    Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote? kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
  17. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Mwongozo rahisi wa Kumtongoza Mwanamke unayekutana naye mara kwa mara

    Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo. Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara. Hakikisha unajulikana na watu, ongea na watu wengi kadri uwezavyo. Hili litaongeza thamani yako kama...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
Back
Top Bottom