rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

    Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

  3. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  5. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

    Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha). Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
  6. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Powertools aina zote zinapatikana kwa bei rahisi sana

    *Bei Rahisi *Vifaa vyenye ubora *BRAND TOFAUTI TOFAUTI Cordless drill Jigsaws, circular saws. Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa. TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU Piga 0788622610
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa bei rahisi

    Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu. Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  10. Guru Master

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  11. mrangi

    JamiiForums Tanzania Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama huna kiwanda ndani, umeme wa jua ni rahisi na wa uhakika?

    Hello! Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao. Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so. Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...
Back
Top Bottom