rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

    Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo. Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  3. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata number ya mkaka/ mdada unayemcrushia

    Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake. Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake. Wakati wa...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania HIMARS zazidi kupata soko duniani, haitakua rahisi kukimu uhitaji wake

    Kwa zilivyomlemaza Mrusi, zinahitajika kote, hata Waarabu watazihitaji sana na kuhama utegemezi wao kwa Urusi... The Estonian government on Saturday announced the purchase of U.S. HIMARS multiple rocket launcher systems worth more than 190 million euros, the Ministry of Defense Investment...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni makolo, kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie

    Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  9. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
  10. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri. Natoa mifano kadhaa. 1. Dini. Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI. Maana...
  12. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rahisi kujisajili kwenye vikundi na kupata Mikopo ya 10% ya Halmashauri

    Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

    Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi. Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe. Nilikuwa siwezi kutunza pesa...
  14. masai dada

    JamiiForums Tanzania Biashara siyo rahisi

    Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa. Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani kujiajiri kwa kifupi fikiria kuamka saa 9 usiku kufata samaki Feri. Halafu kupeleka uji usiku wa manane...
  15. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano itakuwa rahisi kwa Yanga

    Leo Yanga wamekubali kuingia kwenye mtego wa Al Hilal kirahisi sana. Mechi ijayo itawezesha Yanga kuwafunga Hilal ikiwa watatumia kikosi kifuatacho; Aishi Manula Mohamed Husein Shomari Kapombe Bangala Hinonga Kanoute Morrison Okrah Chama Phiri Mayele Hawa ndio wachezaji pekee wanaoweza...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je unataka kibali na upendeleo kutoka kwa rais? Fuata mbinu hizi rahisi za Kibiblia

    Angalizo:- Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais. KIBALI:- Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
Back
Top Bottom