raha

Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi makanjanja ya magazeti/tv/redio yanavowapa raha Wanayanga

    Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na kupokelewa kwa mbwembwe na misafara ya magari hadi mitaa ya twiga na jangwani Kuna hali ya furaha sana...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Utoto bhana una raha zake tena tele

  4. S

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa raha zake ex-RC Chalamila anachangamsha damu

    Mwangalie kwenye clip hii anayarudi mayenu. Saaaaafi kabisa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeli-miss sana pilau! Leo nitawahi mapema siti ya mbele!! Chama langu la msimbazi tupe raha leo!

    Kwa kweli watu tumelimiss soka pilau kwa muda sasa, leo tutajikumbushia utamu wa soka pilau toka kwa wekjndu wa msimbazi!
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi na watu wanaoielewa dunia ni raha sana

    Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni. Kazi za ndani kwa houseboy au house girl atahakikisha kabla ya ajira una sehemu ya kuishi ambayo unamudu kuilipia. Inawezekana ikawa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Misiba ya wanasiasa, ishara ya mtengano wa kiitikadi kwenye shida na raha

    Viongozi wa dini kemeeni, wanasiasa kemeaneni. Msiba miaka yote haujawahi kuwa na itikadi wa chama ni wetu sote. Mmezalisha tabia ya kuvunja mashirikiano kwa sababu ya awamu na Matakwa ya kiongoz aliyetangulia. Aliwajengea woga na kuwafanya kuishi kwa kubaguana. Si afya kuendelea hivyo, msiba...
  8. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ukijua kuichambua LOGIC raha sana. Unaweza kujiona Nabii kumbe ni Saikolojia tu

    Sitaongea mengi sana! Lakini naomba kuwatafsiria jambo ili msipate tabu kuelewa! LOGIC 1. Ukiona unayedhani alikuwa ni bikira anaamua kujitangaza rasmi mtandaoni kuwa ana mimba basi tambua kwamba kashajifungua mtoto tayali! WHy? Ni kwasababu kama aliweza kuficha asijulikane kama anazini...
  10. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

    Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine. Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini...
  11. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

    Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku-experience. Ilikua ndo mara yangu ya kwanza. Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa mwili mzima. Actually niliiona dunia kwa namna isiyo ya kawaida. Tangu hapo nilirudia tena na...
Back
Top Bottom