Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.
Wakuu habari,
Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida.
Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani.
Kwa sasa...
Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/=
Totall 5,200/=
Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu.
Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi.
Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
Kuna ukarimu fulani wa kiafrika... Mgeni anapewa heshima kubwa sana.. Kwa baadhi ya makabila mgeni kama ni mwanaume hupewa na mlimbwende kabisa amtoe baridi... Ila sijui kuhusu wageni wa like wanapewa nini🤣
Kuna mwaka Rais Bush wa Marekani alipokuja Tanganyika Dalisalamu barabara zote...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
Wajuvi wa kupambanua njooni mtoe majibu kwa kutumia lugha za staha. Anayepata raha zaidi ni yule anayekunwa au yule anayekuna.
Nyimbo zilipendwa ya Bi Shakira kutoka Tanga
Nina jambo nataraji, nami nipate baini
Nina jambo nataraji nami nipate fahamu
Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani...
Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.
Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani.
Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu...
Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe.
Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu.
Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima.
Halafu basi iwe barabara nzuri...
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu...
Nimekumbuka story moja!
Elimu ndogo na ujinga mwingi ni kazi sana, Elimu Elimu Elimu R I P Ngoyai Lowasa uliona mbali!
Hakuna ukombozi bila elimu na watu kujitambua, Masikini wa kutupwa wenye sare wanawapiga masikini wasio na sare ili wasidai haki, Lengo kubwa ni kulinda maslai ya matajiri...
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake
1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5...
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
Ili kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi huko Saudia
Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg...
Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.