raha

Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze shida ili wasahau mambo ya siasa

    Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo. Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kuna kazi, Hili ndondo linafyekwa kwa umoja

    Wamefanya kosa moja tu la kiufundi, shoo kama hizi hazihitaji VIJIKO,
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Raha na karaha ya kubaka

    Simulizi ya mkesha wa Christmas 1986 Vijana watatu waliokuwa wanatoka kwenye mkesha walikutana na binti aliyekuwa anakimbia huku akiomba msaada Wakamsimamisha na kumhoji lakini mioyoni mwao wakiwa na nia ovu huku mioyoni mwao wakiwa tayari wameshawaka tamaa Binti alikimbia m'bakaji mmoja...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kwa VPN unaona Raha zote duniani

    Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapata Raha sana wakifanywa hivi

    Sasa siyo tuvitako twenyewe tuwe kama skonzi. Yawe matako kweli kweli. Unaweza piga tumatako ukaumiza mkono au kenyewe kakaumia. Ndo maana sisi wengine tunapenda wenye mahips ya kufa mtu na makalio ya haja.
  7. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio yake

    Usiumie, usilie wala usijipe unyonge kuona wengine wanapata mafanikio wakati wewe miaka nenda miaka rudi upo palepale. Sikia nikwambie ndugu yangu, sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio yake. Kuna vilio vingi nyuma yao nje na haya ambayo tunayaona kwa macho. Kuna watu wanacheka mbele...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti inakuwaje kumpa mwenzako Raha iwe dhambi

    Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe mtu iwe dhambi au tulipigwa na vitabu vya miongozo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

    Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi, 1. Ester Matiko 2. Nusrat Hanje 3. 4.
  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

    Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi. Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu swali lako @ 26 Life ******* Pita pita huku na kule nikakutana na huyo mkaka, nikamdate na ndiyo akawa...
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Furaha na Raha. Wati wenhi hutafuta raha wakidhani ni furaha. Mwishowe hujikuta watupu

    TOFAUTI KATI YA FURAHA NA RAHA. WATU WENGI HUTAFUTA RAHA WAKIDHANI NI FURAHA. MWISHOWE HUJIKUTA WATUPU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watu wengi huyachanganya maneno Furaha na Raha wakifikiri yanarejelea jambo Moja jambo ambalo sio sahihi. Nitaeleza kifalsafa, kisaikolojia na kisemantiki...
  15. mager6

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa huko niliishi na mshkaji, akawa anahustle hadi raha

    Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nikampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka raha jiunge CCM

    Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
  17. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 2: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    NRNE - Hii ni nyuzi ya mapenzi kama hupendi hizi mada, achana nayo, USIIFUNGUE. Tunaendelea ilipoishia kwenye simulizi ya kwanza - Utamu wa tunda la kati - Part 1 - nitasimulia kijana wa pili aliyeniliza na ilikuwaje. Bahati mbaya mimi na Samy wa Part 1 tuliachana sababu ya tofauti za dini...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    NRNE - Hii ni nyuzi ya mapenzi kama hupendi hizi mada, achana nayo. Wanajukwaa niliwamiss, nimerudi na nikakutana na uzi wa mtu anauliza mbona mabinti wa siku hizi hawalii kwenye tendo? Nikamkumbuka kijana aliyeniliza kwa raha miaka kama 25 iliyopita, acha niwasimulie na wengine mjifunze...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
Back
Top Bottom