Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

kazuri kakid

Member
Oct 6, 2021
15
118
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
 
Back
Top Bottom