Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki.
Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
Ubalozi wa Sweden nchini Iraq umefungwa na balozi wa Sweden amefukuzwa nchini Iraq.
Sweden imefunga ubalozi huo baada ya waandamanaji kuuchoma moto kwa sababu ya tukio la kuchana chana na kupiga teke Quran lililofanyika nchini Sweden siku ya Alhamisi.
Sweden imesema inalaani kitendo cha...
Waandaaji nchini Sweden wachana chana Quran na kupiga teke Quran hadharani jana siku ya Alhamisi, tarehe 20 July 2023.
Waandamanaji hao walitishia kuichoma Quran lakini baadae wakaahirisha na kuchana chana quran hadharani.
Hatua hiyo imepelekea mabaloxi wa Sweden kuitwa na kuhojiwa kwenye nchi...
Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran.
Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
Katibu mkuu wa NATO Bwana Jens Stoltenberg amesema kuchoma Quran hadharani sio kosa ingawa inaweza kua sio jambo la kupendeza.
Bwana Jens Stoltenberg ameyasema hayo wakati akijibu maswali kuhusu matukio yaliyotokea hivi karibuni nchini Sweden ya kuchoma Quran hadharani baada ya mtu mmoja kutoka...
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.
=======
Soma zaidi.
Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of...
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na...
Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni.
Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina.
Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.
2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.
4: Sabato ya Jumapili.
5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke...
Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam.
Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Abdalla Mohamed Tambaza...
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
Heri ya Pasaka?
Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.
Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?
JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?
1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.
2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?
3. Mbona ni...
Wasalaam jamani.
Mimi ningependa kuuliza, kwanini waislamu wakiwa wanasoma Quran wanaisoma kwa kuiimba, halafu mkono mmoja wanaweka kwenye shavu?
Asante.
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote,
Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea
kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona,
Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
Amefunguka
👇
====
Alichokisema Hamis Kigwangalla katika majadiliano ClubHouse
Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amezungumza kwenye majadiliano ya Clubhouse na kuelezea msimamo wake kuhusu suala la kuapa kwa kutumia Quran na kashfa za rushwa zinazomkabili.
Akizungumza...
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.