Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu.
Kwa mfano tu mzuri, hivi...
Shirika la Apple limechukua uamuzi wa kushangaza wa kufuta apu hiyo yenye Qur'ani Tukufu kwa lugha asili ya Kiarabu na pia tarjuma kwa lugha nyinginezo pamoja na mafundisho mengine ya Kiislamu. Apu hiyo imefutwa kwenye jukwaa la App Store lenye kubeba aplikesheni zote za simu za iPhone na iPad...
DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970
Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi.
Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki.
Nawaona kama jana vile...
Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa.
Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...
Mtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo.
RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.