quran

  1. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

    Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?. 100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu. Kaunganisha unganisha...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

    Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao. Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu. Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
  3. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Quran 15:26 na 15:27

    Waislamu mnisaidie hapa. Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba majini na mtu? Quran 15:26 Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 15:27 Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. Quran 7:11 Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura...
  4. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu wa biblia na quran anapewa sifa ambazo hana?

    Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

    Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi 1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Mnawaua kwa risasi watanzania halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu KWELI?

    "Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu!KWELI?" - Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

    Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini? Ushahidi kutoka Qur’an Surat Maryam (19:16–21): “Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka...
  9. hamis77

    JamiiForums Tanzania QURAN: Wapalestina ni wavamizi

    WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo Qur’an 5:20–21 Na Musa akawaambia watu wake “Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusamehe sana Sheikh; tulipuuza maneno matakatifu ya Quran

    Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri): الرِّجَالُ قَوَّامُونَ...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

    Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani. Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
  13. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

    KWANINI NI RAHISI KUIKARIRI QURAN? Watu wengi wanaweza kuhifadhi nyimbo za Bongo Fleva, hadithi au mashairi ya Kiarabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni Neno la Mungu. Kuweza kukariri kitu hakuthibitishi kuwa ni cha kiungu. Vivyo hivyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haithibitishi...
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kitabu cha Quran kisayansi

    Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w) Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana 1) Mwaname na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH?? Hapa allah anathibitisha kuwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  18. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

    Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
  19. Clever505

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

    Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo? Quran inajibu, 6:101 Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke? Quran...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tofauti na nguruwe wanyama gani wingine wamekatazwa kuliwa katika Quran?

    Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa. Nilitegemea kuwe na mfanano na...
Back
Top Bottom