Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,

Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi gani na kula kitimoto, au nacho kimefichwa ili iwe surprise ya kushushia hizo pombe mbinguni ?

Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa kwasababu ina madhara mengi

  • Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
  • Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
  • Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
  • addiction / uraibu
  • imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
  • Kuzima
  • Kutembea kwa kupepesuka bila balance
  • kujisaidia hadharani
  • Maumivu ya kichwa
  • Magonjwa ya figo, presha, kansa, n.k.

Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?

1681989602562.png
 
Umefafanua scripture straight. Maandiko yanahitaji upembuzi yakinifu kabla hujawasilisha kwa watu
 
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,

Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe?

Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa hasa kwasababu hupunguza uwezo wa akili kufanya maamuzi yenye staha
-huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
-humfanya mtu awe na hasira za haraka
-watu huanza kutukana mitaani bila aibu
-hujenda uraibu, mtu anaweza aibe ili anywe pombe
-inachota utimamu kiasi kupelekea wengi kufukuzwa kazini

Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?
Mathayo 26:29
Ninawahakikishia sitokunywa Tena mvinyo wa mzabibu mpaka siku nitakapokunywa pamoja nanyi katika ufalme wa baba
 
Back
Top Bottom