quran

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaosema katiba ni kijitabu tu wanaweza kudiriki kusema Quran ni kijitabu tu ama Biblia ni kijitabu?

    Kuna mambo yanatosha kuitwa uhaini, kama kudharau wimbo wa taifa ama bendera ya taifa ni kosa la kukuweka behind bars iweje aliyekashifu katiba ni kijitabu tu. Madhaifu ya kiuungozi yaditifanye tukose kauri wakati wa kutoa hoja. Leo wakati nikipita mtandaoni nimekutana na kauli ya kuwa katiba ni...
  2. Clever505

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya, 47:7 Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu. Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Quran ilitamkwa na Muhamad wakawa waandishi wanaandika na baadaye yakakusanywa maandiko kutengeneza kitabu

    Kwa mujibu wa Uislamu: 🔹 1. Aliyetunga Muhamad Waislamu wanaamini kuwa Qur’an ni neno la moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah). Haikuandikwa au kutungwa na mtu yeyote—bali iliteremshwa (wahyi) kwa Mtume Muhammad (SAW) kupitia malaika Jibril (Gabriel). Hii inakija kuonekana...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Allah katika Quran anasema wewe Muislamu ukiwa na shida ya Kiimani waulize Wayahudi na Wakristo hao ndo wanajua

    Surat Yunus (10:94) "Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..." (Qur’an 10:94) Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukisoma Quran vizuri, unagundua kuwa ilidukua mambo mengi toka kwenye Biblia na hivyo Biblia ni mzazi wa Quran

    Kusema ukweli, bila Biblia, Quran isingekuwapo, na ni bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawalioni wala kulijua au kulisema hili. Ukisoma vizuri vitabu vyote kwa weledi na umakini bila kuvaa hijabu ya imani na uhafidhina, utajua kuwa Quran ilidukua Biblia. Mfano ni kuumbwa kwa Adam na Eva...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Quran ya Kiarabu Ingetafsiriwa kwa haki na bila Chuki, basi wakiristo na Waislamu wote wangeadhimisha Ijumaa Kuu (Good Friday)

    Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
  7. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Quran inakubali kuwa Injili ni kitabu cha Mungu na hapo ndio nakuwa na mashaka na Quran pia

    Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu, Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,. Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah), Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ndg zetu katika Imani hii kucheza namna hii nayo imeandikwa kwenye kitabu kitukufu Quran?

    Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
  10. hamis77

    JamiiForums Tanzania Wasiyoyajua Waislamu wengi

    Wasiyoyajua Waislamu wengi Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi toka karne hiyo na kimetukuka. Hapo wakifikiri karne ya 7 ni mbali sana. 😀 Ngoja niwape shule...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye. Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono...
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana. Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

    Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia Karibuni sana https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

    Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani. Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na...
  19. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke anakukwaza, hakutii ; Quran inasema mpatie kipigo akili ikae sawa

    Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha, Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao. Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
Back
Top Bottom