punda

Willemstad ( WIL-əm-staht, VIL-, Dutch: [ˈʋɪləmstɑt] (listen); Papiamento: [wiləmˈstad]; English: William Town) is the capital city of Curaçao, an island in the southern Caribbean Sea that forms a constituent country of the Kingdom of the Netherlands. It was the capital of the Netherlands Antilles prior to its dissolution in 2010. The historic centre of the city consists of four quarters: the Punda and Otrobanda, which are separated by the Sint Anna Bay, an inlet that leads into the large natural harbour called the Schottegat, as well as the Scharloo and Pietermaai Smal quarters, which are across from each other on the smaller Waaigat harbour. Willemstad is home to the Curaçao synagogue, the oldest surviving synagogue in the Americas. The city centre, with its unique architecture and harbour entry, has been designated a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    Maumivu ya kugongwa mayai hayaelezeki Kwa Wanaume

    Utotoni kuna matukio yaliyosababisha nitoe machozi ila nalolikumbuka zaidi ni lile Jamaa alinipiga teke la pumbu wakati tunacheza boli. Kwa kweli hadi leo yale maumivu siwezi sahau. Lililofanya nikumbuke na kuandika huu masala ni hii Leo wakati nasombelea mchanga somewhere nimekodi punda, huku...
  2. Shukurani ya Punda ni Mateke, aliyefundishwa na Mwalimu leo ni wa kwanza kumtukana Mwalimu

    Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF. Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto ya kuwa mwalimu lakini hili swala la wanajf kuwatukana walimu ni mambo ya ushamba na ujinga...
  3. Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  4. Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  5. Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

    Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe. Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji...
  6. Punda huyu anahitaji msaada zaidi

    Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua. Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea...
  7. Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

    Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
  8. M

    Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  9. RC Kagaigai: Ukame Kilimanjaro umeua Ng’ombe 841, Kondoo 406 na Punda 10

    Salaam Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame. ==== TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 22 JANUARI, 2022 1. UKARIBISHO: Mheshimiwa Rais...
  10. Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

    Habari wakuu, Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako, Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili, Njia nzuri ya...
  11. SoC01 Maana ya Furaha na Nadharia ya Punda anayekimbiza karoti

    Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa...
  12. Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea. Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…