Punda huyu anahitaji msaada zaidi

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua.

Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea majani hayo makavu na ndoo ya maji, nikawafuata na kuwasisitizia kumchukua lakini hawajaonekana tena hivo naendelea kumpoelekea maji ya kunywa nae kaanza nizowea maana akiniona tu na ndoo yangu ya maji husimama na kuanza kunywa.

Naomba ushauri wa kufanya maana ananitia huruma kwani yupo jirani tu na makazi yangu.

IMG_20221014_141507.jpg
 
Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua.
Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama.
Mkuu fanya majukumu yako ya utu. Kama kuna daktari wa mifugo muite amchome sindano ya antibiotic na usiache kumhudumia.

Watanzania bado tupo nyuma sana katika masuala ya utu na kuhudumia wanyama. Hujui baraka zako zitatokea wapi
 
Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua.

Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea majani hayo makavu na ndoo ya maji, nikawafuata na kuwasisitizia kumchukua lakini hawajaonekana tena hivo naendelea kumpoelekea maji ya kunywa nae kaanza nizowea maana akiniona tu na ndoo yangu ya maji husimama na kuanza kunywa.

Naomba ushauri wa kufanya maana ananitia huruma kwani yupo jirani tu na makazi yangu.

Mungu akubariki kwa kujali kwako. Huyu anahitaji dr wa mifugo. Unaweza kuanzaia kwa mtendaji wa sehemu husika ila amalazimishe mwenye punda kuchukuwa hatua. Mguu umevunjika au una jereha?
 
Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua.

Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea majani hayo makavu na ndoo ya maji, nikawafuata na kuwasisitizia kumchukua lakini hawajaonekana tena hivo naendelea kumpoelekea maji ya kunywa nae kaanza nizowea maana akiniona tu na ndoo yangu ya maji husimama na kuanza kunywa.

Naomba ushauri wa kufanya maana ananitia huruma kwani yupo jirani tu na makazi yangu.

Mtafute daktari amtibu . Utapata thawabu
 
Ila kuna wajinga wanawatumia vibaya sana hawa wanyama

Kuna jamaa anao wawili tu kutwa nzima anawapigisha kazi,ikifika usiku anatafuta shamba la mtu anawaweka au anawanunulia debe moja la pumba za mchele anawapatia na hapo unakuta wamepiga kazi mpaka saa 3 usiku
 
Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua.

Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea majani hayo makavu na ndoo ya maji, nikawafuata na kuwasisitizia kumchukua lakini hawajaonekana tena hivo naendelea kumpoelekea maji ya kunywa nae kaanza nizowea maana akiniona tu na ndoo yangu ya maji husimama na kuanza kunywa.

Naomba ushauri wa kufanya maana ananitia huruma kwani yupo jirani tu na makazi yangu.

Mbona kama kabakwa ukizoom unaona kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom