pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

    .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo, sitegemei pongezi, makofi au kugongwa meza kwa kiongozi yeyote yule. Watanzania tumechezewa sana

    Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Serengeti Girls mmetuheshimisha sana Watanzania, pokeeni pongezi za dhati kabisa

    Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa magoli 5-1 tena ugenini dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa ya hadhi ya Cameroon, Mmefuta aibu ya...
  6. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni master wa siasa Tanzania tumpe pongezi

    Wanaukumbi. Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

    Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa? Kumsifia Rais au kunisaidia Rais? Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TBC na sera ya pongezi kwa mama Samia

    Tanzania yapo matatizo mengi ambayo yanahitaji uhamasishaji na vichochezi ili wananchi wachangamkie fursa au waweze kutoka katika hali husika. TBC licha ya kuwa wanatumia fedha za walipa kodi, hawatengezi vipindi vyenye muelekeo wa kuhamasisha vijana au kutatua kero zilizopo. Ukifuatilia...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana! Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

    Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali. 1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu. 2.Pili, serikali imeanza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

    Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu. Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Shukrani za dhati kwa Wana Jamiiforums Hawa kwa kazi iliyotukuka

    Nyendo The Sheriff Replica Suley2019 Erythrocyte Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa wamekuwa mstari wa mbele kuujulisha UMMA kinachoendelea. Watanzania wengi na viongozi akiwemo Mheshimiwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni radhi; Niliwapa pongezi Kitenge na Oscar hapa; nimejiridhisha pasipo shaka kwamba nilikosea nafuta pongeza zangu

    Jana nilitoa pongezi Kwa Kitenge na Osca nikiwa nimejikita kutetea uhai wa wanadamu wenzetu pamoja na HAKI ya elimu. Mara nyingi ninapotoa hoja napenda kujieleimisha zaidi na pale ninapobaini utofauti napenda kukiri makosa na kuepusha kuipotosha jamii. Kwa issue ya Ngorongoro Naomba kuondoa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

    Salaam Kwanza nikiri wazi kwamba mimi sio mwanajeshi kuweza kuufahamu utendaji wa ndani kabisa wa CDF wetu wa JMT lakini kwa jicho la nje ningependa kutoa pongezi nyingi kwake kwa utendaji na uzalendo uliotukuka. Mbali na utendaji wake ndani ya jeshi, Kiongozi huyu ameonekana sehemu mbali...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
Back
Top Bottom