pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  4. Kikotii

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Pongezi kwa Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma. Nikiwa kama mdau wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hongera na pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuifanya Tanzania kuwa Salama muda wote

    Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mamlaka kwa kupambana na Panya Road

    Pongezi kubwa kwa Jeshi letu la Polisi kwa kazi nzuri wanayo endelea kuifanya kuhakikisha hakuna cha panya rodi wala panya buku. Pongezi pia kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Makala kwa kuweka mikakati madhubuti ya kutokomeza uhalifu katika Jiji la DSM. Ushauri; 1. Zoezi la kupambana na uhalifu haswa...
  8. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Pongezi 12 kwa Rais Samia

    Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa uchache hizi ni pongezi kwa...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tweeter ya Mama ina habari ya vifo na pongezi tu?

    Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k. Tunaweza kubadilika na sisi?!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Pongezi

    Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi. Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea baraza lote la mawaziri kujiuzulu ili kuonesha kuna uwajibikaji. Anayejua jina la huyu CAG anijulishe...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia

    Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania. kwa kufungua fursa zaidi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe anastahili pongezi kwa namna anavyochapa kazi katika Wizara ya Kilimo na kutekeleza maelekezo ya Rais Samia

    Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

    Wanabodi Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo. Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!. Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  17. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

    .
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo, sitegemei pongezi, makofi au kugongwa meza kwa kiongozi yeyote yule. Watanzania tumechezewa sana

    Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
Back
Top Bottom