pombe

  1. JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    Madhara ya unywaji wa pombe: Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis) Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction) Kudhoofisha mfumo wa kinga...
  2. JamiiForums Tanzania Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

    Mimi: Ladha inanishinda.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  4. JamiiForums Tanzania Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

    Mambo vipi wakuu? Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
  5. JamiiForums Tanzania Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wasiokunywa pombe ni wanafiki na hujipendekeza kwa mabosi ili kupata upendeleo

    Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki. Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu. Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
  7. JamiiForums Tanzania Nimeokoka nimeacha pombe

    Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

    Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
  9. JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kusema uongo hata siku moja😂

    Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu, #tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
  10. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Pombe: Ukweli Kuhusu Faida na Hatari Zake

    KWANINI WATU WANAKUNYWA POMBE? JE POMBE INA FAIDA NI HATARI KWA AFYA? Pombe (ethanol) ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi duniani, lakini ndani ya mwili wako hufanya kazi kama kemikali yenye nguvu inayobadilisha namna ubongo na mwili vinavyofanya kazi. Hii ndiyo sababu mtu akinywa hubadilika...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
  13. JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  14. JamiiForums Tanzania Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana. Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tumieni kinga kwenye tendo na kuwa waaminifu ili kuepusha baadae kulaumu pombe kwa matatizo ya figo

    Wakuu kuna kitu hakisemwi kuhusu huu mlipuko wa tatizo la figo. Inatajwa pombe, soda na vitu vingine. Ni sawa ila mimi ninasisitiza watu tutumie kinga na tuwe waaminifu kwenye mapenzi. Kila mtu nikiwemo mimi yupo kwenye hatari kubwa ya kuja kuwa na tatizo la figo endapo hatutaacha ushenzi na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ulicope vipi na uraibu wako wa pombe, sigara, kamari, n.k. kwenye lockdown ya maandamano?

    Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa bangi na mirungi viliadimika sana maduka na vibanda vya sigara vilifungwa Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
  18. JamiiForums Tanzania Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

    Salaam jamiiforum. Pombe ni burudani ambayo ipo tangu enzi za manabii,ikiwa ni moja ya burudani nzuri,yenye kukutanisha marafiki,wachapakazi pamoja na wazalendo. Sisi wenyewe ni mashahidi ni mara nyingi makampuni kadhaa ya pombe yamekuwa yakipewa sifa na tuzo Kwa kuwa rekodi nzuri kwenye pato...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

    Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi... Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache. Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati. Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

    Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…