pombe

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa siamini kama kuna watu wanakunywa pombe daily naposema kila siku namaanisha kweli kila siku

    Kuna watu hawawezi kuamini, lakini huu ndio ukweli Kuna watu karibu kila siku ya Mungu jioni lazima tupige kamnyweso binafsi me ni ka wine kangu kana 19% V/V. Sababu pekee inayoweza kuwafanya wasinywe ni kuugua tu. Na kwa bahati nzuri watu wa hivyo huwa hawana tabia ya kuugua kiasi cha...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa. Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto. Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    Madhara ya unywaji wa pombe: Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis) Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu Uharibifu wa ubongo na kupungua kwa kumbukumbu Uraibu (ulevi wa kudumu / addiction) Kudhoofisha mfumo wa kinga...
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

    Mimi: Ladha inanishinda.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  7. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

    Mambo vipi wakuu? Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wasiokunywa pombe ni wanafiki na hujipendekeza kwa mabosi ili kupata upendeleo

    Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki. Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu. Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
  10. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka nimeacha pombe

    Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

    Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kusema uongo hata siku moja😂

    Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu, #tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Pombe: Ukweli Kuhusu Faida na Hatari Zake

    KWANINI WATU WANAKUNYWA POMBE? JE POMBE INA FAIDA NI HATARI KWA AFYA? Pombe (ethanol) ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi duniani, lakini ndani ya mwili wako hufanya kazi kama kemikali yenye nguvu inayobadilisha namna ubongo na mwili vinavyofanya kazi. Hii ndiyo sababu mtu akinywa hubadilika...
  15. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana. Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tumieni kinga kwenye tendo na kuwa waaminifu ili kuepusha baadae kulaumu pombe kwa matatizo ya figo

    Wakuu kuna kitu hakisemwi kuhusu huu mlipuko wa tatizo la figo. Inatajwa pombe, soda na vitu vingine. Ni sawa ila mimi ninasisitiza watu tutumie kinga na tuwe waaminifu kwenye mapenzi. Kila mtu nikiwemo mimi yupo kwenye hatari kubwa ya kuja kuwa na tatizo la figo endapo hatutaacha ushenzi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ulicope vipi na uraibu wako wa pombe, sigara, kamari, n.k. kwenye lockdown ya maandamano?

    Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa bangi na mirungi viliadimika sana maduka na vibanda vya sigara vilifungwa Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
Back
Top Bottom