Kwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na Skanska
Mpumbavu wewe
Kuna vitu duniani ukivisikia vinaua, unajua moja kwa moja havina mjadala.
Sumu ya panya? Unakimbia. Risasi? Unakimbia. Lakini pombe? Tunaweka mezani, tunaita “kutoa heshima” na tunamimina kwenye glasi.
Na tusidanganyane — pombe ni sumu. Sumu yenye jina la kitaalamu ethanol, inayotengenezwa na...
Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia.
Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu kusemwa vibaya na kusingiziwa malalamiko kibao. Hebu cheki hapa baadhi ya hali/mambo ambayo pombe...
Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
Moderator wiki jana sio jana.
Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta
Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu...
Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii.
Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile.
Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
Mambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha.
Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
Mambo vipi ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya maisha yangu nilivyoanza kunywa pombe
Kunywa pombe nilianza 2016 nikiwa chuo kikuu na nilianza tu kwa...
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya.
Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
Habari wakuu
Leo ni alhamisi na kwa watu wapenda viti virefu na kamnyweso wao wameshaanza wikiendi tayari, lakini tunapoelekea kwenye wikiendi hebu tujikumbushe jambo moja la muhimu hususani afya zetu.
Je, umeshawahi kusikia mtu amefariki ghafla na rafiki zake wakasema ni jana tu tulikua nae...
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.