Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi

Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Nyumbani sio bar na bar sio nyumbani
Utamuita nani sasa akusikikize
Utahudumiwa na nani
Utamuomba nani bili
Utamuachia nani 'keep change'
Utamuoshea nani macho...😀
1778492000997.jpg
 
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi

Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Nahisi lounge kuna kuwa na vibe.. ambalo home hupati unless mkeo na wewe mtengeze mazingira ya hivyo home gambe linanoga mkeo anavaa kama barmaid na mdada wa kazi nae anapiga kama barmaid mbona kinawaka..
 
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi

Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?

Japo naweza na inatokea mara chache ila Mm Bia na kuangalizia mipira home hainogi.

Kwanza ujue bar hufuati bia tu. Kuna kubadilishana mawazo. Kuna kuongeza kitu kipya ambacho hujui. Kuna tenda na kaz (michongo) .
Kuna mastory ya siasa na mipira.

bado kuna siku umeshiba hela na unataka ule kitimoto yako saaaf na bia zako. 😊😊😊😊😊
+ na sababu nyingne bro Mshana Jr alizotaja.😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom