Nimeokoka nimeacha pombe

Nimeokoka nimeacha pombe

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,386
Reaction score
16,170
Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.

PXL_20260609_153000779.MP.jpg
 
Kuna mwingine kafariki Jana, amekutwa kafa kalala kitandani...mashuhuda wanasema usiku alikunywa pombe Kali sana akalala...haloo hajaamka. Tena ni mfanyakazi mkubwa tu kwenye ofisi ya mkurugenzi...ukiona tangazo Fulani la mkurugenzi kuuarifu uma kuwa mfanyakazi wake daraja la pili kitengo Fulani siku ya Jana ujue ndio huyo. Endeleeni kupiga vyombo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom