Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
Mm hata nileweje.Ukilewa vilivyo lazima utoe Siri zako ambazo ulikua HUTAKI mtu mwingine azijue.
Umechelewa giza limeshaingia wenzio wamerudi tangu 11:30 jioni hiiNgoja niende kwaya narudi
Vizuri sanaMm hata nileweje.
Sitoi siri zangu wala za washkaj zangu.
Ni principal tu. Na zinazoeleka ukipractise.
Na hata nikiwa na hela na kukaa bar hakuna mtu atajua. Na hata nisipokuwa na hela pia hakuna mtu atajua.
Code #14
Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa
Inategemea kichwa Cha mtuJambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu,
View attachment 3602454
#tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
Uyo anayetoa siri zake ana kichwa Cha panzi pombe Zina wenyewe naongea kiuzoefu zaidiSi dhani
Mmmh sijawahi Kuona hiyo.walevi ni wapumbavu sana kazi kujisaidia haja kubwa mabarabarani kama mbwa
wajinga sana huwa wanasingizia ni vichaa wamejisaidia asubui kumbe ni mapompe yao ya usikuMmmh sijawahi Kuona hiyo.