The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,457
- 12,244
Mimi: Ladha inanishinda.
Mimi: Ladha inanishinda.
View attachment 3629587
Kama hauna akili timamu ya pombe ni bora uache tuHSIPENDI KITU AMBACHO UKISHATUMIA KINAONDOA UTASHI WA KAWAIDA HATA CHEMBE YA UTASHI, WENYEWE WANAITA STIMU, POMBE INAONDOA GOOD MANNER, MTU ANAJAA SIFA ANAANZA KUNYWESHA MADEMU BAR AU WATU BAKI MPAKA PESA INAISHA, ANAAMKA ASUBUHI ANAJUTA,ANAAPA,ANAAMKA ANAKULA KANDE HELA YA SOUP HAITOSHI, BADO MATUKIO YA KUBONDA NA KUBONDWA UKIWA BAR KISA VURUGU AU WIVU WA MADEMU, KUKIMBIWA NA MHUDUMU ETC. YOTE YALINIKUTA HIVYO NIKAACHA KUNYWA POMBE 3YRS NOW.
Huu mfano ulio toa ni wa aina ya walevii wa hovyo.SIPENDI KITU AMBACHO UKISHATUMIA KINAONDOA UTASHI WA KAWAIDA HATA CHEMBE YA UTASHI, WENYEWE WANAITA STIMU, POMBE INAONDOA GOOD MANNER, MTU ANAJAA SIFA ANAANZA KUNYWESHA MADEMU BAR AU WATU BAKI MPAKA PESA INAISHA, ANAAMKA ASUBUHI ANAJUTA,ANAAPA,ANAAMKA ANAKULA KANDE HELA YA SOUP HAITOSHI, BADO MATUKIO YA KUBONDA NA KUBONDWA UKIWA BAR KISA VURUGU AU WIVU WA MADEMU, KUKIMBIWA NA MHUDUMU ETC. YOTE YALINIKUTA HIVYO NIKAACHA KUNYWA POMBE 3YRS NOW.
Pombe imetulia zake kwenye chupa wala haina mpango nae yeye ni kiherehere chake tu kimemtuma akanywe na kuwehukaHuu mfano ulio toa ni wa aina ya walevii wa hovyo.
Sisi tunakunywa sio kulewa kwa ajili ya recreational, tuna familia tunafanya maendeleo , tunafanya KAZI vizuri kabisa.
Pombe ni kwa ajili ya ma champion na washindi ukiona pombe huwezi achana nazo
Kaka mkubwa min -me na MENEMENE TEKERI NA PERESI
Huwa nawa ambiaga vijana hakuna mtu amewai kupambana na pombe.. yaani ukishinda nazo lazima uwehukePombe imetulia zake kwenye chupa wala haina mpango nae yeye ni kiherehere chake tu kimemtuma akanywe na kuwehuka
Na ni kinywaji cha starehe na sio cha kupunguza stress na kutafuta ujasiri bandiaHuwa nawa ambiaga vijana hakuna mtu amewai kupambana na pombe.. yaani ukishinda nazo lazima uwehuke
Ndio maana sisi Huwa tuna kunywa kwa kipimo hatuzidishii na tunabakia na utu wetu.
Shwari kabisa..
Wengine hutumia kujifariji na kuondoa stress 😬Na ni kinywaji cha starehe na sio cha kupunguza stress na kutafuta ujasiri bandia
Unalipa kodiSioni faida yake.
TechnicallyUnalipa kodi
MIUJIZA WA KWANZA YESU KUBADILI MAJI KUWA MVINYO..Sioni faida yake.
😃😃MIUJIZA WA KWANZA YESU KUBADILI MAJI KUWA MVINYO..
POMBE IMEKUWEPO TANGU ENZI NA ENZI
MIMI NIKIGUSA KONYAGIIII NDOGO MOJA NISEME KWELI AKILI INACHAJI KUPITA PROF. YEYOTE YULE
Na hata deals Huwa nazi close/ una piga zako pesa sana nikiwa na alcohol kiasi KICHWANI ubongo una chaji mnoo.