Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu.

Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia lateran treat!

Hata hivyo kwa upande wa Tanzania kuna namna fulani kardinali pengo alihusishwa sana na siasa za Magufuli kiongozi anayependwa sana na wanyongwe wa Tanzania. Kanisa lijitafakari!
 
Kama taifa kilichopo mbele yetu ni Bajeti ya nishati, na eneo la Bagamoyo kuwa mali ya Zanzibar, Sasa ww Magufur umemtoa wap!?
Bajeti ya nishati itapita punde hayo ya bagamoyo yalikuwepo toka enzi za nyerere lakini doa la magufuli pengo benito na pope pius halitafutika kamwe miaka dahari.
 
Usishangae

Zipo taarifa kuwa waroma/warumi ndio walioua watu wengi Duniani kuliko vita vyovyote vile KWA kipindi tofauti tofauti!!
 
Kwa hiyo kanisa lijitafakari juu ya Magufuli na mussolin?
Au pengo na papa Pius ndio wajitafakari?
 
Wewe wala siyo mkatoliki, hakuna mkatoliki wa 'kindakindaki' wa aina yako. Wakatoliki ni watu wanaowaheshimu sana viongozi wao wa kiroho. Wewe ni heathen tu.
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu.

Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia lateran treat!

Hata hivyo kwa upande wa Tanzania kuna namna fulani kardinali pengo alihusishwa sana na siasa za Magufuli kiongozi anayependwa sana na wanyongwe wa Tanzania. Kanisa lijitafakari!
Cardinal Pengo ni mnafiki wa kiwango cha Dreamliner. Wakati wa Magufuli hakuwahi hata siku moja kumsihi aache kuua watu na kunyang'anya fedha za wafanya biashara. Ila saa hizi Magufuli amesepeshwa jehanam ndiyo ameanza kujifanya eti mtoa ushauri kwa serikali

Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu Yeremia 15:7. Musiba ha wenzie hakutegemea kama DIKTETA MAGUFULI angeweza kufa au kutoka madarakani

Halafu Cardinal wangu ndiyo mnafiki kupindukia. Kuna siku alisema, nanukuu;

"Nashukuru sasa kuna watu ambao wanaweza ku takeover uRais wa Tanzania baada ya Magufuli, kabla sijamuona MAKONDA nilikuwa na wasiwasi sana"

Mwisho wa kunukuu
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu.

Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia lateran treat!

Hata hivyo kwa upande wa Tanzania kuna namna fulani kardinali pengo alihusishwa sana na siasa za Magufuli kiongozi anayependwa sana na wanyongwe wa Tanzania. Kanisa lijitafakari!
Hii maneno inafanana na ile mbwa mbaya ya sokoni, ile haina soni ya faraghq, haijalisi umbwa dume au ke INABWEKA. UMBWA waheed
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu.

Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia lateran treat!

Hata hivyo kwa upande wa Tanzania kuna namna fulani kardinali pengo alihusishwa sana na siasa za Magufuli kiongozi anayependwa sana na wanyongwe wa Tanzania. Kanisa lijitafakari!
Kuna baadhi ya watanzania wanahodhi uhuru wa kuongea, hampendi wengine wasemwe? kuna shida gani viongozi wa dini wakitoa mtazamo wao kama wananchi?, na wasipo ongea tutashangaa maana kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uozo katika jamii. ukaribu wake na magufuri una shida gani kwa mfano, mbona samia anawatafuta viongozi wa dini na kuwaweka karibu, au ulitaka amsifia hata kama kaharibu?

usijinasibu kuwa wewe ni mkatoriki kindakindaki, mkatoliki wa namna hiyo hawezi kutamka neno lolote pindi kiongozi wake anaposema chochote, wakatoliki vindakindaki hueshimu Uongozi (magisterium), wewe ni mpagani kama walivyowengine, huujui ukatoliki ila ulitaka kufikisha ujumbe wako kwenye kivuli cha ukatoliki, endelea na kujifanya mkatoliki wa siasa.
 
Balozi wa papa alinipa kipaimara mwaka 1990
 
Back
Top Bottom