Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz ameelezea kuhusu hali ya usalama nchini kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi Septemba 2019 ikilinganishwa na mwaka 2011 hadi 2015.
Amesema “Makosa makubwa ya Jinai yameshuka kwa asilimia 24.7. Makosa makubwa kwa mfano mauaji yameshuka...
====
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake.
Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda
Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16
UPDATE:
Polisi wameelekea...
Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa.
Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara.
Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
Sasa ni rasmi kuwa yawezekana aina ya Bange / Bangi inayolimwa na Kuvutwa Mkoani Mara ( Musoma ) ikawa na ‘ Madhara ‘ kuliko inavyodhaniwa na Watu wengine, hivyo ni Jukumu la Mamlaka husika ( Serikali ) kulivalia njuga Ulimwaji wa hiki ‘ Kilevi Moshi ‘ humo Mkoani kabla hali haijazidi kuwa mbaya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
Mjomba wa Mtoto Aliyenyweshwa Sumu, Kizimbani. Ashitakiwa Kwa Jaribio la Kuua, RCO Aomba Asidhaminiwe.
Christopher Charles (23) ambaye alikuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Mkoa wa Dodoma, jana Oktoba 24, 2019 amefikishwa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa huo, Lucas Jang’andu...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka wakuu wa kituo cha polisi Kijitonyama na Oysterbay kufika mahakamani hapo leo Ijumaa Oktoba 25, 2019 kueleza sababu za kukaa na mtuhumiwa kwa siku 14 badala ya kumpeleka gereza la Segerea.
Mtuhumiwa huyo, Elizabeth Balali alifikishwa...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda Haki za Binadamu za kila mtu katika nchi hii. Hii inajumuisha haki ya kupiga kura, uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika.
Chaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia. Wananchi wote bila ubaguzi wana haki ya kuamua na kuchagua viongozi na...
Waliokamatwa ni wafanyakazi wa Kampuni ya Ukandarasi ya CHICCO pamoja na Kampuni ya Ukandarasi ya Nyanza.
Kampuni ya Chicco inatekeleza miradi ya ujenzi Mto Sinza hadi Mto Ng’ombe huku Kampuni ya Nyanza Road Works ikishika tenda za ujenzi wa barabara za Banana, Kivule na Kitunda
Akizungumza...
Imetokea boda ya Tanzania na Malawi ambapo polisi wamevamia na kuwakamata wananchi wanaochenji hela na kuwapokonya na pia kuwapakia kwenye costa na kwenda kuwalaza vituo vya polisi.
Vijana waliosalimika ni wale waliokimbilia upande wa Malawi sasa hatujui kosa ni nini hasa ambalo nchi na...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) leo imefanya maongezi ya kimkakati na Wadau mbalimbali wakiwemo Sekta Binafsi, Sekta za Umma, Asasi za Kiraia, Taasisi za Dini, Vyombo vya Habari, Viwanda vya Uchapaji na Uchapishaji, Kampuni za Simu, Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri...
Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019.
DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.