Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,878
Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus

Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa

Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora. Watu walitandikwa bakora ili wakalale majumbani kwao

Awali mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alizuia uzuluraji kwa kipindi hiki cha janga la #COVID19. Na kuwataka watu wakae nyumbani baada ya muda wa kazi na wasitoke bila sababu maalum


 

Attachments

  • AUDIO-2020-04-17-01-04-08.m4a
    282.9 KB · Views: 1
ila watz sio kila kitu mpaka serikali iwambie mambo mengine ni kujiongeza. Mnajua kabisa kuna corona na bado mnajazana ma bar si mnunue piere mkanywee nyumbani au issue ni ma barmaid
Kabisa Mkuu, ila ndio naamini watanzania hali ngumu

Nyumbani hakukaliki, hakuna utulivu ,sijui wanakosa viti vya kuwaweka busy wakiwa majumbani ?
 
Watu wasikae kwa mkusanyiko hivi wanavyojazana kwenye lile ligari lao ule huwa ni mkusanyiko wa maroboti au..??
Hiyo mikwaju si wangekuwa wanajianzia wao wenyewe humohumo kwenye gari maana na ule ni mkusanyiko unaoenda kuzuia mikusanyiko.
 
Back
Top Bottom