Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi

#FreeMartinMaranja
IMG_20200604_125532.jpg
 
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi

#FreeMartinMaranja

Huyu jamaa huko chadema ana vyeo vingapi, kila mwanahabari anaripoti kivyake.

martin.jpg
 
Sawa, sheria ichukue mkondo wake au ana immunity ya kukamatwa?
 
Back
Top Bottom