Utafiti: Polisi wa Kenya wameua watu 15 na kujeruhi wengine 31 wakati wa 'ku-enforce Curfew'

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,256
6,893
1591115829646.png

The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus.

About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting to serious injuries, robbery, inhuman treatment and sexual assault are currently being investigated by the Authority.

“After preliminary investigations, fifteen (15) deaths and thirty-one (31) incidents where victims sustained injuries have directly been linked to actions of police officers during the curfew enforcement,” reads a statement signed by IPOA chairperson Anne Makori.

Further, IPOA has dispatched Rapid Response teams to establish the circumstances that led to six other fatalities in the latest incidents.

They include two fatalities within Katanin Village, Kabiyet Sub-County, Nandi County on May 29, 2020, the gunning down of a man in Mathare, Nairobi on June 1, 2020, the fatal shooting of three family members in Kwale on May 30, 2020 as well as shooting of a woman at a police roadblock in Emali on May 31, 2020.

“Upon conclusion of the investigations and pursuant to Section 6(a) of the Act, the Authority will make recommendations, including prosecution if criminal culpability is established on the part of the police officers involved,” the statement reads.

Source: Citizentv.co.ke
 
Tumepiga kelele sana juu ya Kenyan police force brutality wakati wa ku-enforce Covid-19 regulations, week ya kwanza tu walikua tayari wameua 4 innocent Kenyans sasa number time-rise na kufika 15 poor souls...(RIP).

Na wala hutasikia Kamwana Uhuru K akitia neno juu ya hio murder rap...
 
Mnashindwa kuandamana kwa ajili ya watu wenu mnajifanya kutetea ya wenzako.
 
Mamlaka ya IPOA 'Independent Policing Oversight Authority' imesema watu 15 wameuawa na Polisi na wengine 31 wamejeruhiwa tangu Kenya iweke tahadhari za kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus

Takriban madai 87 ya vifo, kupigwa risasi, vurugu, wizi, ukiukwaji na haki za binadamu pamoja na unyanyasaji wa kingono vinachunguzwa na Mamlaka leo

Aidha IPOA imeunda timu zaidi ya moja ili kuchunguza vyanzo vya vifo 6 ambavyo vimeripotiwa hivi karibuni na kulingana na majibu ya uchunguzi huo, Polisi waliohusika wanaweza kufunguliwa mashtaka

Tangu kuanza kwa mlipuko wa Corona, Kenya imechukua tahadhari mbalimbali ikiwemo kufunga mipaka, shule na kutangaza muda wa wananchi kutotoka ndani ili kudhibiti maambukizi

===

The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus.

About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting to serious injuries, robbery, inhuman treatment and sexual assault are currently being investigated by the Authority.

“After preliminary investigations, fifteen (15) deaths and thirty-one (31) incidents where victims sustained injuries have directly been linked to actions of police officers during the curfew enforcement,” reads a statement signed by IPOA chairperson Anne Makori.

Further, IPOA has dispatched Rapid Response teams to establish the circumstances that led to six other fatalities in the latest incidents.

They include two fatalities within Katanin Village, Kabiyet Sub-County, Nandi County on May 29, 2020, the gunning down of a man in Mathare, Nairobi on June 1, 2020, the fatal shooting of three family members in Kwale on May 30, 2020 as well as shooting of a woman at a police roadblock in Emali on May 31, 2020.

“Upon conclusion of the investigations and pursuant to Section 6(a) of the Act, the Authority will make recommendations, including prosecution if criminal culpability is established on the part of the police officers involved,” the statement reads.
 
Hutosikia wakiandama, ila akiuliwa mmarekani na wakiona watu wanaandama na wao bila hata kufikiria utayaona yanaandamana.
 
Praise team na propagandists wanaogopa takwimu hawajui wanasherehekea nini hapa,
hawajui kwao polisi wameua na kuumiza wangapi na kama wamefunguliwa mashtaka

IPOA ni taasisi ya serekali ya kenya, hufanya uchunguzi na hufungulia mashtaka polisi wanaofanyia maovu wananchi ili kuleta haki

If anything this proves Kenya haiogopi ukweli na takwimu kama dictatorship flani hapa

Mnafaa kujiuliza kama tanzania kuna body kama IPOA kuliko kuleta ushabiki wa kipropaganda humu
 
Praise team na propagandists wanaogopa takwimu hawajui wanasherehekea nini hapa hawajui kwao polisi wameua na kuumiza wangapi na kama wamefunguliwa mashtaka

IPOA ni taasisi ya serekali ya kenya, hufanya uchunguzi na kufungulia mashtaka polisi wanaofanyia maovu wananchi ili kuleta haki

If anything this proves Kenya haiogopi ukweli na takwimu kama dictatorship flani hapa

Mnafaa kujiuliza kama tanzania kuna body kama IPOA?
Kwanini hamuandamani wakenya wakiuliwa na POLISI wenu, lakini POLISI wa Marekani wakiua RAIA wao mnaandamana?
 
See your ignorance
IPOA was formed after multiple protests and complaints by kenyans
unafikiri sisi ni waoga kama nyinyi hamwezi kuandamaana kutetea haki zenu mumebebewa akili na ccm
And I can already predict your denial propaganda filled responce..bye
 
Swali hujajibu, POLISI wa Kenya wameua wakenya 15 katika hiki kipindi cha Curfew, hatukuona maandamano hapo Kenya kupinga hayo mauaji, lakini POLISI wa USA wameua mtu mmoja tu huko kwao, Kenya mumeandamana, je maisha ya wamarekani ni bora kuliko wakenya?
 
`Mbona picha kama polisi wamewakusanya watu sehemu moja,hawakujua corona ni hatari au walikuwa bado hawajapewa semina ya covid 19
 
Swali hujajibu, POLISI wa Kenya wameua wakenya 15 katika hiki kipindi cha Curfew, hatukuona maandamano hapo Kenya kupinga hayo mauaji, lakini POLISI wa USA wameua mtu mmoja tu huko kwao, Kenya mumeandamana, je maisha ya wamarekani ni bora kuliko wakenya?
Unabisha usichokijua wewe. Ile kelele ilipigwa hapa hadi raisi mwenyewe akaomba msamaha kwa hilo. Sisi hujitambua sana.
 
IPOA ya tanzania iko wapi
 
Unabisha usichokijua wewe. Ile kelele ilipigwa hapa hadi raisi mwenyewe akaomba msamaha kwa hilo. Sisi hujitambua sana.
Maandamano na kelele ni vitu tofauti sana, hivi nguvu ya maandamano na kelele zinalingana?, mbona wamarekani walipoona kelele hazitoshi wamechagua kuandamana.

Kwanini wakati wa uchaguzi mnaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi badala ya kupiga kelele?, hivi uchaguzi ni muhimu kuliko maisha ya watu?

Swali: Kwanini hamkuandamana wakenya 15 walipouliwa na POLISI badala yake mnaandamana kwasababu RAIA wa Marekani ameuliwa?
 
The end result justifies everything. For your info the involved police officers are lined up for prosecution, what does that tell you?..
 
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus.

About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting to serious injuries, robbery, inhuman treatment and sexual assault are currently being investigated by the Authority.

“After preliminary investigations, fifteen (15) deaths and thirty-one (31) incidents where victims sustained injuries have directly been linked to actions of police officers during the curfew enforcement,” reads a statement signed by IPOA chairperson Anne Makori.

Further, IPOA has dispatched Rapid Response teams to establish the circumstances that led to six other fatalities in the latest incidents.

They include two fatalities within Katanin Village, Kabiyet Sub-County, Nandi County on May 29, 2020, the gunning down of a man in Mathare, Nairobi on June 1, 2020, the fatal shooting of three family members in Kwale on May 30, 2020 as well as shooting of a woman at a police roadblock in Emali on May 31, 2020.

“Upon conclusion of the investigations and pursuant to Section 6(a) of the Act, the Authority will make recommendations, including prosecution if criminal culpability is established on the part of the police officers involved,” the statement reads.

Source: Citizentv.co.ke
Kwanni waafrika hamuandamani sasa kupinga ukatili wa askari mweusi dhidi ya mtu mweusi mwenzake ?

Au ukatili ni hadi pale askari mzungu akimuua mwafrika ?
 
Back
Top Bottom