polisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

    Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii. Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo. Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

    Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu. Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwa jeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana...
  3. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Liwale hakupo shwari, Polisi wameua watu wawili sababu ule uchaguzi haukuwa huru na haki

    "Polisi wameua watu wawili Liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni.
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Polisi wavamia mkutano wa ndani wa Uchaguzi jumuiya CUF Handeni

    TAARIFA KWA UMMA: POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI: Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake (JUKECUF) na Jumuiya ya Vijana ( JUVICUF) Handeni Tanga. Kwa mujibu wa Maelezo ya Naibu Mkurugenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hili kwa Polisi ni Jinai - Kuhusiana na Uchaguzi uliopita, tuseme tupime, labda Wanahabari wakikutana na wakuu watauliza

    Ni pale , kwa ujumla, ikiwemo uchaguzi Polisi wanapomkamata mtu kisha wakampeleka kwenye kituo cha polisi kisha mtu yule anapotolewa au kuachiwa anakutwa amepigwa sana kiasi ya kuhatarisha maisha yake na pengine akifikishwa hospitali hufariki kutokana na athari za mapigo aliyoyapata. Aina za...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akamatwa na Polisi Mkoani Mbeya na kunyimwa dhamana

    Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana . Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

    Ni vyema tusisubiri maafa, tutoe angalizo mapema. Maziko ni kesho Ndugu zetu marafiki zetu wa Kawe Polisi, tunatoka msibani kunasikitisha ukiacha majonzi yanayoendelea. Naamini mmeshapajua hapo msibani karibu na geti dogo la Lugalo. Bajaji kumi kidogo zimeshusha wahuni wanavuta bangi msibani...
  9. JamiiForums Tanzania Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

    Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgombea wa upinzani wa Uganda ashinda Tume ya Uchaguzi kulalamikia manyanyaso ya Polisi

    Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi ameshinda katika makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuwasilisha lawama za namna wanavyohujumiwa na kunyanyaswa na vyombo vya usalama. Mgombea huyo maarufu kama Bobi Wine alisitisha kampeni zake hapo jana wakati walinzi wake wawili...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa Nairobi, Mike Sonko amekamatwa na polisi

    Gavana Mike Sonko amekamatwa baada ya mvutano baina ya wafuasi wake na polisi. ====== Nairobi Governor Mike Sonko, who is facing impeachment by the Nairobi County Assembly, was on Monday afternoon briefly held by police in Nairobi. The governor was meeting MCAs who support him ahead of an...
  13. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuandamana kupinga sheria mpya inayowalinda polisi wanapowakamata watu

    Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo. Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu. Sheria hiyo imetangazwa siku chache baada ya video kusambaa kote nchini humo ikimuonesha polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Polisi waamrisha Hoteli zisiwape vyumba msafara wa Bobi Wine

    Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko Pia amedai polisi...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu). Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter Marejeo :
  17. JamiiForums Tanzania Polisi kuanza kuwashughulikia wanaoharibu miundombinu ya Reli

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiowahaminifu kwa kuhujumu miundombinu ya reli jambo ambalo linaiingizia serikali hasara kubwa kutokana na uwekezaji unaofanywa. IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza...
  18. JamiiForums Tanzania DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Kuna jinai kubwa imetendeka. Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu...
  19. JamiiForums Tanzania Wezi na wavuta bangi wamekithiri Kawe Mtoni, tunaomba Polisi mtusaidie

    Niliwahi andika miezi kadhaa, .... Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian.... Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
  20. JamiiForums Tanzania Tokea tuanze kupelekana polisi kila timu inapata matokeo inayostahili

    Yanga inahujumiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…