UGANDA: Polisi waamrisha Hoteli zisiwape vyumba msafara wa Bobi Wine

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera

Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko

Pia amedai polisi waliamrisha hoteli zote zisiwape vyumba hivyo walilazimika kulala barabarani kwenye magari yao

 
Back
Top Bottom