polisi

  1. JamiiForums Tanzania Tayari LC 300 ni gari ya polisi Dubai

    Dah hawa jamaa bana.... Latest Toyota Land Cruiser becomes cop car, joins Abu Dhabi, Dubai police fleets
  2. JamiiForums Tanzania Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

    CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia. Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

    Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

    Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....? Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho . Kesho yake hakuja nayo hadi kama...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapelekana Polisi baada ya jamaa kufaya mapenzi masaa mawili mfululizo

    Wakuu Hii Imetokea Nchini Kenya, Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na...
  7. JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Inteligensia ya Polisi kutoana viashiria vya ualifu kwenye Mikutano ya Chadema kinanifanya niamini nchi ipo salama

    Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo. Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
  9. JamiiForums Tanzania Kigoma: Inakuaje Jeshi la Polisi Kuhifadhi Jina la Muhalifu na Amekamatwa

    Wana muungano eeeh Tunaomba Mh. Raisi Samia aliangalie hili mara mbili yaani polisi kigoma wamemkamata muhalifu wa ujambazi na wanasema wamehifadhi jina lake. Kuna uhalifu wa majambazi kuwapora abiria wa gari njiani uliotokea barabara ya kibondo kasalu, polisi wanasema wamehakiki tukio hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba. Waziri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

    Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

    Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

    Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwamba makosa ya Sabaya hayapo Polisi yapo TAKUKURU? Wadanganyika

    Nimeangalia kwa upana makosa au tuhuma zilizoibuliwa na wananchi dhidi ya Sabaya, nyingi ya tuhuma zinaangukia Polisi isipokuwa tuhuma za Mali na fedha ndo zinaangukia TAKUKURU. Kinachonishangaza nikuona TAKUKURU wamemshikilia huku Polisi ambao walipaswa kuanzisha uchunguzi kuhusu matumizi...
  17. JamiiForums Tanzania Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  18. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya. Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mexico: Makundi ya kuuza dawa za kulevya hutafuta Polisi na kuwaua

    MEXICO CITY (AP) — The notoriously violent Jalisco cartel has responded to Mexico’s “hugs, not bullets” policy with a policy of its own: The cartel kidnapped several members of an elite police force in the state of Guanajuato, tortured them to obtain names and addresses of fellow officers and is...
  20. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya kinaelezea utendaji kazi wa Polisi Tanzania

    Wazee wa kupiga twende
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…