polisi

  1. JamiiForums Tanzania Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

    KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda. 1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
  4. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

    Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa. Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nakujuza tu kama hujui hivi; Ukipoteza ufunguo wa nyumbani kwako hutakiwi kuvunja komeo/mlango wako bila Ripoti ya Polisi (Loss Report)

    Tunakumbushana tu wadau, ni hivi: Kama ukipotelewa na funguo wa mlango nyumba yako, ofisi yako au ofisi ya umma au sehemu inayofunguliwa kwa ufunguo! Huruhusiwi kuvunja hilo komeo/kitasa bila kutoa taarifa polisi! (Loss report) ni utaratibu wa kawaida kabisa wadau nawakumbusha! Pili; Hata...
  8. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

    Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO Kurushwa LIVE !
  9. JamiiForums Tanzania Polisi DSM: Disco Toto Marufuku siku ya Eid

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo. Amewataka wazazi kuwa makini na...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wataja namba za dharura kipindi cha Sikuu ya Eid Al Adha

    Dar es Salaam 19, Julai, 2021 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

    Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

    "Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
  13. JamiiForums Tanzania Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Polisi Tanzania hawana weledi wa kufanya Uchunguzi wa eneo la tukio la uhalifu (Crime Scene)

    Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
  16. JamiiForums Tanzania Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

    "Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton
  17. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 30 wanashikiliwa na polisi kwa kukusanyika na BAVICHA bila kibali

    Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali. BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  20. JamiiForums Tanzania Kigogo wa jeshi la polisi Nigeria auawa kwa kupigwa risasi

    Meja Jenerali Hassan Ahmed Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed. Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…