Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake ya Aishi, iliyopo huko mkoani Kilimanjaro, Kati ya mwezi May na August mwaka Jana.
Swali la kwanza...
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.
Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu!
Polisi mwenye akili timamu kabisa anajitokeza hadharani na kumbambikia kesi ya Ugaidi kiongozi wa...
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.
Ukiona kiongozi...
Mkongomani auwawa kwa kupigwa hadharani na Polisi nchini India. Kifo cha Mkongo huyo kimesababisha mandamano kwa raia walivyoona akipigwa marungu na miti kichwani na kiunoni kwa kushambuliwa na Polisi Zaidi ya 8 bila Huruma hadi alipokata roho na kuendelea kupiga maiti kwa kuiponda-ponda...
Wakati Mh Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani, alituambia imefika wakati wakujenga chama Cha siasa imara kwa matakwa ya mda tulio nao tuache kutegemema jeshi la Polisi kutufanyia siasa .
Ajabu ni kwamba jambo lile lilichukuliwa km maneno tuu, ila ukweli Mchungu sana kwa...
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
KUTOKA KIJIWE CHA POLISI WASTAAFU..
Siyo kila nikisikiacho huwa nakiweka katika ukurasa wangu. Leo nilitembelewa na Polisi wastaafu. Wamesafiri kuja kunipa pole. Walipobisha hodi nikaweka mikono nyuma nikisubiri waweke pingu. Badala yake wakashusha kreti ya soda kunihani msiba.
Baadaye soga...
Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria:
Vitisho hivi ni vya nini?
Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi.
Tuna hata haja ya kutunishia misuli?
Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
Mwulize jina lake
Mwulize namba yake ya uaskari
Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia...
Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi na Polisi wamekamatwa Nchini humo wakihusishwa na jaribio la kumuua Rais Andry Rajoelina ambalo lilishindikana. Hadi sasa watu 21 wanachunguzwa
Jaribio dhidi ya Rais Rajoelina ni miongoni mwa matukio yanayoendelea kutikisa Taifa hilo. Madagascar imekuwa Lockdown...
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu.
Waliokamatwa ni Pamoja na
-Joseph Mbilinyi (Sugu)
-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)
-Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona.
Zaidi ya polisi 3,000 na maafisa wa usalama wameuzunguka mji mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi wakati maelfu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.