polisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Moto ya Jeshi letu la Polisi ni nini?

    Juzi tu hapa nilikuja na uzi wa kuhoji weledi wa Jeshi la Polisi haswa nililenga tukio la kumpiga risasi Mtu aliyenyoosha mikono juu..ingawa baadae naona Mods waliuunganisha uzi ule na uzi uliotangulia. Nimejifunza mengi kupitia baadhi ya comments za Wachangiaji...nimejifunza ya kuwa bado tupo...
  3. JamiiForums Tanzania Katavi: Polisi wawashikilia watu 9 kwa madai ya ujangili

    Katavi. Jeshi la polisi mkoa wa Katavi kwakushirikiana na kikosi maalumu cha askari wa Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoka makao makao Arusha wamekamata watu tisa akiwemo raia wa Burundi wakiwa na meno matatu ya tembo, bunduki aina ya AK- UC-0045-1988 ikiwa na magazine moja na risasi 28...
  4. JamiiForums Tanzania Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema

    Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde . Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza, ikiwa ni CCM wanawatumia Polisi, au ni Polisi wanawatumia CCM?

    Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala. Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa kuhofia yaliyotokea Zambia

    Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao. Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnashindwa nini kuwakamata Magaidi wakati Modus Operandi yao ni ile ile miaka na miaka?

    Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata. Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

    Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa? 3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

    Majuzi lilipotokea tukio la kutupiana risasi baina ya vijana wetu wa jeshi la polisi na bwana Hamza vimenifanya nifikirie saana juu ya uwezo wa polisi katika kulenga shabaha! Hamza alikuwa sehemu ya wazi! Lakini zilitumika risasi nyingi saana na polisi kumshambulia hamza. Mwishowe tulisikia...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

    Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda. Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo. Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  13. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, kukiri hadharani kuwa polisi hutumia nguvu za ziada ni sababu tosha ya kuondolewa nafasi yako

    Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria. Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi? Hii ni kinyume na katiba ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

    Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way. Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  16. JamiiForums Tanzania Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

    Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa...
  17. JamiiForums Tanzania Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

    aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  19. JamiiForums Tanzania James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

    Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??. Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi wanajisiakiaje pale wanaposikia maneno haya ya Hamza akiwasifia Raisi Magufuli na Samia?

    Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata wamekuwa wakijitahidi kuonyesha Hamza alikuwa mtu hatari angeweza kuua raia wengi kama Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…