Umewahi kujiuliza, ikiwa ni CCM wanawatumia Polisi, au ni Polisi wanawatumia CCM?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala.

Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia CCM na ndio maana wanafanya mabo mengi sana yasiyokubalika na wananchi bila hatua zozote kuchukuliwa dhidi yao, au hata serikali ya CCM kulifumua upya jeshi la polisi kama inavyopendekezwa na wengi?

Kwa mfano, katika suala la Hamza, tungetarajia Raisi Samia aunde chombo huru kuchunguza na kupata ukweli - lakini tofauti na hilo, anaagiza Polisi haohao ambao wamekuwa wakimshutumu Hamza na familia yake ndio wafanye uchunguzi. Sasa hapa nani anamtumia nani, kama sio Polisi wanaitumia serikali ya CCM katika mambo yao?

Inawezekana pia CCM hawajui kwamba wao ndio wanaotumiwa na Polisi, huku wakiaminishwa na Polisi kwamba wao ndio wanawatumia Polisi!

Inawezekana kwamba kitendo cha Polisi kutumika na CCM dhidi ya wanasiasa wa upinzani ni fadhira ndogo sana inayolipwa serikali ya CCM kwa jeshi la Polisi kuwatumia, lakini hilo ndio linapotosha watu kudhani ni CCM wanawatumia Polisi badala ya ukweli kwamba Polisi wanawatumia CCM. Kuthubutu alikoonyesha Sirro katika suala la Hamza sio kwa kawaida, bali kunakupa picha ana namna ya kuona "nani atanifanya nini".

Kwa mfano, umewahi kujiuliza nani amekuwa anakwamisha jitihada za kuunda chombo kinachojitegemea cha kuwasimamia Polisi? Nchi kama South Africa, kesi zote dhidi ya vitendo visivyofaa vya Polisi zinachunguzwa na kitu kinaitwa Independent Police Investigative Directorate (IPID), na nchi nyingi sana zinakuwa na chombo hiki ambacho kama kingekuwapo hapa Tanzania, ndio kingechunguza suala la Hamza, sio Polisi wenyewe. Nani amekuwa akikwamisha jitihada za kuwa na chombo hiki hapa Tanzania?

Malalamiko dhidi ya Polisi kwa sasa ni mengi sana, bara na visiwani. Sasa kama kweli serikali ya CCM haitumiwi na Polisi, basi tunamshauri Raisi Samia afanye haraka sana kuunda Independent Police Investigative Directorate (IPID) ya Tanzania (kwa Kiswahili Idara huru ya Kuchunguza Polisi) ambayo inapaswa kuwa chini ya Jaji Kiongozi au labda Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
1630327145896.png
 
Vyovyote itakavyokuwa, ni CCM ndio inayowatumia polisi kujibu hoja za kisiasa kwa mtutu wa bunduki, Hili hata mwenyekiti wao mstafu Kikwete alikwishaliweka hadharani, Pia KM mstaafu Bashiru nae aliweka wazi so hakuna mjadala hapo hiko cha kwisha kazi! Kingunge alisema CCM ilishaishiwa pumzi!
 
Mkuu nimejiuliza sana suala hilo, lakini nikaona labda ndilo linafanya tusione ukweli halisi kwamba Polisi ndio wamewaweka CCM mfukoni, na sio kwamba CCM ndio wamewaweka mfukoni Polisi!

Suluhisho hapani kuwa na IPID ya Tanzania, au vyovyote itakavyoitwa
 
  • In South Africa the South Africa, the Independent Police Investigative Directorate Bill, was published in Government in 2010. The South African IPD Act stipulates that IPID shall investigate any death in police custody or as a result of police action; may investigate any misconduct or offense allegedly committed by a South African Police Service member
  • In UK Police Reform Act 2002 created the Independent Police Complaints Commission (IPCC), which was established in 2004.146 IPCC, a non-departmental public body funded by the Home Office, has national and regional offices. IPCC oversees the whole of the police complaints system. It can choose to man-age or supervise a police investigation into a case and independently investigate the most serious cases
  • In Ghana, the Ghanaian Police Council is a constitutional body that advises the president on matters of policy relating to internal security, including the role of the police, budgeting, finance and administration, as well as recruitment.
  • In Australia, there are a number of agencies providing independent and impartial investigation and detection (with accompanying coercive powers), as well as prevention campaigns:
  • In British Columbia, Canada, the Office of the Police Complaint Commissioner provides civilian oversight of complaints regarding municipal police. The Office is completely independent from the police, government agencies and political parties.
  • In France, the Commission nationale de déontologie de la sécurité (CNDS) is the only independent institution overseeing the police. Complaints are filed indirectly: only the Prime Minister and individual members of parliament can refer a matter to CNDS,
  • In Lesotho, the Police Complaints Authority, established in 2003 but operational since 2005, is an independent oversight body that monitors questionable police conduct and addresses grievances against the police. It is empowered to investigate complaints about police misconduct and make recommendations for disciplinary action to the Commissioner of Police and for prosecution to the Director of Public Prosecutions.
  • In Malaysia, the Enforcement Agency Integrity Commission is a new independent oversight body targeting all law enforcement agencies (not only the police), which can receive and investigate complaints.161 Additionally, they visit detention facilities
  • In the Philippines, the People’s Law Enforcement Board receives complaints, conducts investigations and hearings, adjudicates on citizens’ complaints against Philippine National Police officers and members
 
Polisi ndio wanatumiwa na CCM maana hawajitambui.
But kama imetokea hivyo sisi Wananchi tunachukua hatua gani kuona hali hiyo kwamba jamaa wanatumika.
 
Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala.

Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia CCM na ndio maana wanafanya mabo mengi sana yasiyokubalika na wananchi bila hatua zozote kuchukuliwa dhidi yao, au hata serikali ya CCM kulifumua upya jeshi la polisi kama inavyopendekezwa na wengi?

Kwa mfano, katika suala la Hamza, tungetarajia Raisi Samia aunde chombo huru kuchunguza na kupata ukweli - lakini tofauti na hilo, anaagiza Polisi haohao ambao wamekuwa wakimshutumu Hamza na familia yake ndio wafanye uchunguzi. Sasa hapa nani anamtumia nani, kama sio Polisi wanaitumia serikali ya CCM katika mambo yao?

Inawezekana pia CCM hawajui kwamba wao ndio wanaotumiwa na Polisi, huku wakiaminishwa na Polisi kwamba wao ndio wanawatumia Polisi!

Inawezekana kwamba kitendo cha Polisi kutumika na CCM dhidi ya wanasiasa wa upinzani ni fadhira ndogo sana inayolipwa serikali ya CCM kwa jeshi la Polisi kuwatumia, lakini hilo ndio linapotosha watu kudhani ni CCM wanawatumia Polisi badala ya ukweli kwamba Polisi wanawatumia CCM. Kuthubutu alikoonyesha Sirro katika suala la Hamza sio kwa kawaida, bali kunakupa picha ana namna ya kuona "nani atanifanya nini".

Kwa mfano, umewahi kujiuliza nani amekuwa anakwamisha jitihada za kuunda chombo kinachojitegemea cha kuwasimamia Polisi? Nchi kama South Africa, kesi zote dhidi ya vitendo visivyofaa vya Polisi zinachunguzwa na kitu kinaitwa Independent Police Investigative Directorate (IPID), na nchi nyingi sana zinakuwa na chombo hiki ambacho kama kingekuwapo hapa Tanzania, ndio kingechunguza suala la Hamza, sio Polisi wenyewe. Nani amekuwa akikwamisha jitihada za kuwa na chombo hiki hapa Tanzania?

Malalamiko dhidi ya Polisi kwa sasa ni mengi sana, bara na visiwani. Sasa kama kweli serikali ya CCM haitumiwi na Polisi, basi tunamshauri Raisi Samia afanye haraka sana kuunda Independent Police Investigative Directorate (IPID) ya Tanzania (kwa Kiswahili Idara huru ya Kuchunguza Polisi) ambayo inapaswa kuwa chini ya Jaji Kiongozi au labda Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rais aunde tume!!!!kifo cha Hamza? police wanakazi gani?

Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama hawezi kufanya hilo unalosema maana anategemea arudi 2025 na hao ndio watakao mbeba
 
CCM na Polisi ni Symbiotoc relationship. Wote ni maparasite kwa Wananchi
 
Police na ccm awataki kabisa kusikia katiba mpya maana inaondoa ile binding interest.
 
2025 wote watasambaratishwa na wananchi.
2025 Ccm hawana wa kumsimamisha ambae anamvuto kwa wananchi kwa sasa hata police wadhikiri mchana ccm aishindi
 
Back
Top Bottom