polisi

  1. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

    Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

    Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha. Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo. 1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever" Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye aanza safari na jeshi la polisi kutoka Mwanza kwenda Dar usiku wa leo kwa ajili ya upekuzi

    Taarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi. Kiongozi huyo pamoja na msaidizi wake wa idara ya uenezi wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya...
  11. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

    KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda. 1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

    Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa. Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nakujuza tu kama hujui hivi; Ukipoteza ufunguo wa nyumbani kwako hutakiwi kuvunja komeo/mlango wako bila Ripoti ya Polisi (Loss Report)

    Tunakumbushana tu wadau, ni hivi: Kama ukipotelewa na funguo wa mlango nyumba yako, ofisi yako au ofisi ya umma au sehemu inayofunguliwa kwa ufunguo! Huruhusiwi kuvunja hilo komeo/kitasa bila kutoa taarifa polisi! (Loss report) ni utaratibu wa kawaida kabisa wadau nawakumbusha! Pili; Hata...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

    Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO Kurushwa LIVE !
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi DSM: Disco Toto Marufuku siku ya Eid

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo. Amewataka wazazi kuwa makini na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wataja namba za dharura kipindi cha Sikuu ya Eid Al Adha

    Dar es Salaam 19, Julai, 2021 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
Back
Top Bottom