polisi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

    Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

    Habari wanabodi..! Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa. Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi Wamekamata yale Magari na Pikipiki Zilizoibwa, Watuhumiwa 60 watiwa Korokoroni

    Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ACP Muliro: Wanajiona kuwa hawana imani na Jeshi la Polisi ni haki yao Kikatiba

    "Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana imani na polisi hiyo pia ni haki kikatiba ni mtazamo". Kamanda Kanda Maalum DSM, ACP Muliro
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi kanda ya Dar kuanza kutoa zawadi (Reward For Justice) kwa raia wema wanaofichua uhalifu

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums. JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
  7. fabinyo

    JamiiForums Tanzania Tayari LC 300 ni gari ya polisi Dubai

    Dah hawa jamaa bana.... Latest Toyota Land Cruiser becomes cop car, joins Abu Dhabi, Dubai police fleets
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

    CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia. Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
  10. Johnny Sins

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapelekana Polisi Baada ya Jamaaa Kulamba Asali Masaa Mawili

    Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
  11. Dumuzii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

    Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....? Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho . Kesho yake hakuja nayo hadi kama...
  12. Linguistic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapelekana Polisi baada ya jamaa kufaya mapenzi masaa mawili mfululizo

    Wakuu Hii Imetokea Nchini Kenya, Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na...
  13. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Inteligensia ya Polisi kutoana viashiria vya ualifu kwenye Mikutano ya Chadema kinanifanya niamini nchi ipo salama

    Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo. Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Inakuaje Jeshi la Polisi Kuhifadhi Jina la Muhalifu na Amekamatwa

    Wana muungano eeeh Tunaomba Mh. Raisi Samia aliangalie hili mara mbili yaani polisi kigoma wamemkamata muhalifu wa ujambazi na wanasema wamehifadhi jina lake. Kuna uhalifu wa majambazi kuwapora abiria wa gari njiani uliotokea barabara ya kibondo kasalu, polisi wanasema wamehakiki tukio hilo...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba. Waziri wa...
  19. kibhojela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

    Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
  20. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

    Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye. Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii. Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao. Wananchi wanaumia wao wapo tu? Kama hawa mateja wanawashinda majambazi...
Back
Top Bottom