polisi

  1. JamiiForums Tanzania Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM kujiweka madarakani imetumia migongo ya Polisi

    Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili. Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura? CCM imevigeuza vyombo huru...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho. Mallya: Kitu gani Kiliendelea..? Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea. --- Jaji ameshaingia Kesi inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
  6. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  7. JamiiForums Tanzania IGP sirro wawajibishe wakuu wa vituo vya polisi Katavi

    Wakuu salama, Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha heshima ya Polisi kwa jamii iundwe tume

    Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Roho mbaya za wanasiasa lawama kwa polisi.

    Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti. Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji. Imebadilika kwamba kumbe hawana...
  11. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi makao makuu 2021

    DOWNLOAD PDF FILE CHINI
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

    Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
  14. JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  16. JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

    Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuokoa Polisi, kuwe na Kamishna wa Siasa

    Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya maamuzi yake kwa kuangalia kusifiwa au kupandishwa cheo. Polisi wamekuwa wakitafuta sifa kwa watawala...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…