Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Ventilator

Member
May 13, 2018
12
57
Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.

Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?

Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa

Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika

Huyu Moses Lijenje ni nani?

Je yupo wapi?

Je yupo hai?

Je anahusika vipi na hawa makomando?

Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?

Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?
 
Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
Good observation. I asked my self the same questions...Tusubiri wenye insights kama wapo.
 
Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.

Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?

Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa

Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika

Huyu Moses Lijenje ni nani?

Je yupo wapi?

Je yupo hai?

Je anahusika vipi na hawa makomando?

Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?

Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?

Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.

Yapo mengi.

Kumbuka pia tuliambiwa muuza mechi alikuwa ni "poti" - Luteni Urio.

Kumbe Luteni Urio alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiteswa Tazara na mahabusu pendwa Tazara na pia kule Mbweni.

Kumbe basi hadithi za Kingai kuitwa kwa DCI kuwa Urio alikuwa na taarifa za magaidi zinaweza kuwa ni hadithi zingine kama za sungura na fisi.
 
Yapo mengi.

Kumbuka pia tuliambiwa muuza mechi alikuwa ni poti - Luteni Urio.

Kumbe Luteni Urio alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiteswa Tazara na mahabusu pendwa Tazara na pia kule Mbweni.

Kumbe basi hadithi za Kingai kuitwa kwa DCI kuwa Urio alikuwa na taarifa za magaidi zinaweza kuwa ni hadithi zingine kama za sungura na fisi.
Hiyo ni fiction story babaa
 
Back
Top Bottom