polisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Rushwa Polisi ni mkubwa sana

    Nashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtoto adaiwa kufia mikononi mwa polisi Mwanza

    Yahaya Aboubakar Familia ya kijana Yahaya Aboubakar, aliyeuawa mikononi mwa polisi yaomba haki itendeke kwa waliohusika na mauaji hayo. Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi wabanwa, wakiri madai ya kuhusishwa na Mauaji, waamua Kujichunguza

    Wananchi Walitetea Jeshi,wataka wazazi Kutolinda Wahalifu
  6. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU?

    What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU? Maana Kila kitu anafanya TAKUKURU, mtu mpaka kagombana na mkewe TAKUKURU! Naombeni majibu
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  10. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

    Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  13. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  14. amadala

    JamiiForums Tanzania Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wazuia magari, watu kupita eneo la Mahakama Kuu

    Katazo hilo linakuja ikiwa ni masaa chini ya 24 yamesalia kwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu Matokeo ya Rais ambayo yaliwekewa Pingamizi na Mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Katika taarifa yake Jeshi la Huduma za Polisi (NPS) pia limezuia matumizi ya Barabara zote zinazoelekea...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani

    Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

    Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
  18. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
Back
Top Bottom