Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,458
Simoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli?

DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama wameshindwa basi agawe na silaha wananchi wajilinde.

Kuna hoja kuwa polisi hawatoshi kulinda mitaa yote, sa kama serikali imechukua hatua gani kama polisi hawatoshi? Wakati kuna migambo? Yani polisi walale nyumbani na mwisho wa mwezi apokee mshahara huku mlipa kodi akifanya kazi mchana na usiku akalinde?

Hili swala binafsi haliingii akilini sababu ndani ya miaka 6 ya Magufuli hatujawahi kusikia hivi vikundi vya kijinga. Kama Siro umeshindwa kazi jiuzulu tu.
 
Huwa nakerwa sana na viongozi wanochukulka vitu kirahisi sana kwasababj wao sio victim

Huyo jockate analala na makeup anaamka nayo hajui misoto ya uswazi anatoa majibu mepesi tu eti ulinzi shirikishi.

Jeshi lenye silaha lenye dhamana ya kulinda raia na mali zake leo hii linakabidhi majukumu hayo kwa wananchi

Hivi wanaelewa hao panya road wanatumia silaha zaidi ya panga?

Wanaelewa kuwa panya road miongoni mwao wanamiliki silaha za moto?

Wanaeleqa panya road wengi wamekuwa inspired na matajiri kwa kupewa hizo silaha?

Juzi hapo nimemsikia hadi manajeshi hapa mtaani mwenye nyota zake anasema hao panya road wamesababishwa na samia kwa kuzuia wamachinga

Fikiria huyo ni mwanajeshi anaongea hivyo yani anaona its okay wao kufanya hivyo as long as samia aonekane ndio sababu....na hajishughulishi kuzuia

Kama kweli unawapa hiyo task sungusungu at least uwape silaha za moto sio kuwashikisha virungu utafikiri wanawinda sungura kumbe ni msako wa kukabiliana na adui mwenye silaha ya moto
 
Kwani unafikiri nchi yetu huwa inajali

Hao wenyewe wanaangalia wamekula wameshiba ndio huongea huo upupu

Inshort hawana uchungu na wananchi hata kidogo hatuna viongozi tuna wahuni na wapigaji wakubwa

Huwa nawazaga yaani hawajamaa kwanini paka saivi wako hai si wangekufaga tu huko sio kula pesa za watu na kuleta ujinga wao

Hajui wamekufa wangapi ,wamejeruhiw wangapi wanaropoka tu
 
Kama kweli unawapa hiyo task sungusungu at least uwape silaha za moto sio kuwashikisha virungu utafikiri wanawinda sungura kumbe ni msako wa kukabiliana na adui mwenye silaha ya moto
Dah!...hizo silaha raia mtaweza kutumia ?...

Kama polisi wachache wahusishe hata migambo kushika doria mtaani (Kama mdau alivyopendekeza hapo juu)
 
Mi siamini kama bunduki hizo kuzitumja zinahitaji ujuzi fulani ambao wao wanataka kutuaminisha kuwa ni ngumu

Hapo huyo ni nyani kashika Chopper na hajafundishwa na mtu kuitumia lakini kwanini ma soja wanasepa wakati nyani hajafundishwa kulenga?
 
Huwa nakerwa sana na viongozi wanochukulka vitu kirahisi sana kwasababj wao sio victim

Huyo jockate analala na makeup anaamka nayo hajui misoto ya uswazi anatoa majibu mepesi tu eti ulinzi shirikishi.

Jeshi lenye silaha lenye dhamana ya kulinda raia na mali zake leo hii linakabidhi majukumu hayo kwa wananchi

Hivi wanaelewa hao panya road wanatumia silaha zaidi ya panga?

Wanaelewa kuwa panya road miongoni mwao wanamiliki silaha za moto?

Wanaeleqa panya road wengi wamekuwa inspired na matajiri kwa kupewa hizo silaha?

Juzi hapo nimemsikia hadi manajeshi hapa mtaani mwenye nyota zake anasema hao panya road wamesababishwa na samia kwa kuzuia wamachinga

Fikiria huyo ni mwanajeshi anaongea hivyo yani anaona its okay wao kufanya hivyo as long as samia aonekane ndio sababu....na hajishughulishi kuzuia

Kama kweli unawapa hiyo task sungusungu at least uwape silaha za moto sio kuwashikisha virungu utafikiri wanawinda sungura kumbe ni msako wa kukabiliana na adui mwenye silaha ya moto
Yan mkuu natamani niite press nifunguke sababu nakerwa sana. Hata niitishwa mchango sitoe
 
Mi siamini kama bunduki hizo kuzitumja zinahitaji ujuzi fulani ambao wao wanataka kutuaminisha kuwa ni ngumu

Hapo huyo ni nyani kashika Chopper na hajafundishwa na mtu kuitumia lakini kwanini ma soja wanasepa wakati nyani hajafundishwa kulenga?

Hiki chombo hakina mazoea, hao wajeda kila siku chombo wanacheza nacho jiulize kwanini wametoka mbio?!
 
Nadhani kipindi wanaandaa ulinzi shirikishi lengo kuu ni kupata info kutoka kwa wakazi pia kuzuia vibaka wadogo wadogo na si magenge yenye silaha.
Kwamba watareport polisi mapema watakapopata kuliona jambo.
Ila kama wanategemewa kuwa ndio wapambane hii haifai.
 
Ulinzi shirikishi upo Mikoa mingi Tanzania kwa wewe usieweza kulinda lipa hela hao walinzi ndio watoa taarifa kwa lolote linalotokea usiku unakuta Mkoa una magari machache tuu ya polisi wataweza kulinda kila Mtaa huo usiku katika maisha anza kujilinda wewe harafu wenye madaraka ndio wanafuata...
 
Mkuu, wakati wadau wanaanzisha hizi nyuzi chini, JPM bado alikuwa waziri wa ujenzi au sio?
Screenshot_2022-05-01_055631.jpg
Screenshot_2022-05-01_055643.jpg
Screenshot_2022-05-01_055653.jpg
Screenshot_2022-05-01_055708.jpg
 
Kazi ya police ni kukusanya maiti na hilo la kupambana na panyaroad ni wanamtaa husika
 
panya rodi si ndugu zako na jamaa zako, Sasa wewe kwa nini umeshindwa kuwakanya waache tabia za kihalifu au kuwaripoti Serikali za mitaa?
 
Back
Top Bottom