polisi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wauwaji wafikishwe kunako stahili

    Ashakum si matusi polisi Mara: Kwa kutuona je vile? Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao. NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
  2. prumpeti

    JamiiForums Tanzania Polisi wanafanya kazi katika misingi ya kimaadili?

    Habari! natumaini ni wazima wa afya. Kumekuwa na vitendo vinavyo leta maswali katika jamii ya watu walioelimika ukiachana na hawa wafata mkumbo ambao ndio wengi katika Taifa hili. Je, polisi wanatekeleza majukumu yao katika misingi ya kimaadili? Nimefuatilia kwa uchache tukio la ukamataji wa...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi yawanasa wanaodaiwa kutumia majina ya Jokate, Nandy kutapeli watu

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa 23 wakiwamo wanne wanaotuhumiwa kutumia majina ya viongozi wa serikali na watu maarufu kwa utapeli na wizi wa mtandao kujiingizia kipato kwa njia isiyo halali. Akizungumza Septemba 26, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Benjamin Kuzaga amesema...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

    Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana. Ukishaanza kuwabana...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Polisi ni malaika, wahanga nao wamesahau?

    Hiki ni kibwagizo kidogo tokea Tarime. Ni majuzi tumeona kipigo cha mbwa koko kwa mtuhumiwa aliyekuwa kwenye pingu. Haifahamiki kama polisi wahalifu wale kuna angalau walio bado korokoroni. Mtwara tuliyekuwa tukiambiwa jambazi kumbe ndiye aliyekuwa mhanga wa yale majambazi sugu yenyewe. Ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

    Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu. Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Walioibiwa mali zao Dar wajitokeze vituoni kuzitambua

    Jeshi la Polisi limewataka wananchi walioibiwa mali zao kujitokeza katika vituo vya polisi ili kuzitambua. Wito huo imetolewa ikiwa ni siku chache tangu kuibuka kwa matukio ya uvamizi wa kutumia silaha za jadi, kisha kujeruhi na kupora vitu mbalimbali nyakati za usiku yanayokwenda sambamba na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Polisi walioua mfanyabiashara Mtwara wameshachukuliwa hatua za haraka kama panyaroad?

    Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki. 1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kushabikia Polisi kuua watuhumiwa, ni ujinga uliopitiliza

    Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road. Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha kumkata Catherine Ruge wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari. Lengo la...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mambosasa awaasa Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kuleta tija jeshini

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi. Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?

    Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Semina ya SOS Children’s Villages na REPSSI yawa kivutio kwa Polisi Dar

    Semina ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari Polisi inayoendelea Jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Taasisi ya SOS Children’s Villages kwa kushirikiana na REPSSI imekuwa kivutio kwa Askari Polisi Washiriki kutokana na mada mbalimbali ikiwemo namna ya kumsikiliza mtoto mwenye msongo...
Back
Top Bottom