Kifo cha Mahsa Amini msichana wa miaka 22 anayedaiwa kuuawa na Askari kutokana na kutoficha nywele zake kwa Hijab, kimeamsha hisia kali za wanawake na wasichana wanaoshinikiza kuondolewa kwa Utawala wa Kiislam.
Licha ya Serikali kuagiza uchunguzi, bado kumekuwa na mashinikizo ya raia na vikundi...
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
Sheria kuhusiana na mikutano inavitaka vyama vya siasa kutoa taarifa polisi, siyo kuomba ruhusa.
Kuwaendekeza hawa ndugu tutajikuta mwana si wetu.
Kuheshimu sheria hakuwezi kuwa jambo la upande mmoja.
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
Polisi hawajawahi kuchunguza ni nani alimshambulia Tundu Lissu tarehe 7/ 09/ 2017 pale Dodoma. Wanatoa kisingizio cha kipumbavu kuwa mpaka wampate Dereva wa Lissu ambaye yuko Ubelgiji.
Kwa namna nchi inavyokwenda tutakuja kujua ni nani aliwatuma, nani alikuwa kiingozi wao na nani aliyefyatua...
Polisi mkoani Kilimanjaro, wanamsaka mtuhumiwa wa mauaji aliyemjeruhi kwa kumkata kwa panga kichwani, askari wa jeshi hilo, wakati askari huyo na wenzake walipofika nyumbani kwake kwa lengo la kumkamata.
Askari huyo wa kituo cha Polisi Sanyajuu wilayani hapa, Wilfred Kavishe (pichani)...
Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk
Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!!
Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe
Source: Aljazeera
Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi.
Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo.
"Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha watuhumiwa hai kama walivyowachukua."
Haiwezekani wajue kuuwa tu na si kurudisha uhai walioutoa kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi.
Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu yaliyosababisha baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa wahalifu kuuawa na askari Polisi, ni vyombo hivyo kukubali...
Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini.
Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua.
Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha.
Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu.
Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga...
Inatia moyo kuwa sauti zaidi zinazidi kusikika.
Kwamba:
"Machifu wa mkoa wa Mara nao pia wameomba kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu watatu yalitokea wilayani Serengeti waliouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi kwa tuhuma za ujambazi."
Hili ni jambo la kheri...
Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa.
Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi.
Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo:
Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni.
Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
Wanawake wawili wakazi wa Mkoa wa Arusha wanashikiliwa na polisi wa Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kukutwa na misokoto 1,220 ya dawa za kilevya aina ya bangi.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, George Katabazi akizungumza na Mwananchi Digital leo jumanne Septemba 27 amesema wanawake hao...
Ashakum si matusi polisi Mara:
Kwa kutuona je vile?
Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao.
NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.