polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Gwajima amkosoa Polepole vikali, amuita mnafiki

  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga

    Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga hayo anayoeleza wakiuwawa ndiyo tujue kweli ccm wamebadilika na viongozi wake wameamka sasa
  3. Pridah

    JamiiForums Tanzania Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

    Tuwe tu wakweli. Polepole anatafuta tu kick. Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya. Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala. Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza. Yu wapi jasusi la mbinguni? Mpina je...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Polepole na siasa za mwendokasi

    Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi ila mwisho wa siku utakua ume-achieve nini jibu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona lisilo la kweli alilosema Polepole; anzia CCM kukiuka katiba hadi kujiuza kwa matajiri

    Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi. Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anaongea mbashara kupitia mitandao ya kijamii

    Yuko live anafafanua harambee ya ccm https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao

    Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi. "Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani...
  8. Equitable

    JamiiForums Tanzania Wanaomtukana Samia kupitia Polepole wakamatwe

    Kuna watu wanasema eti Polepole alizuia demokrasia mara ooh alikandamiza wapinzani eti aliunga mkono watekaji Sasa Polepole alikuwa nani serikalini? Si yeye alikuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama tu tena chini ya 1. Mwenyekiti 2. Makamu mwenyekiti bara 3. Makamu m/kiti Zanzibar 4. Katibu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wakuu wa mikoa na wilaya wanaoachia ngazi halafu wanaenda kuutafuta ubunge hawana dhamira ya kuwasidia wananchi. Wapigine chini

    Wakuu wa mikoa na wilaya waoachia ngazi halafu wanaenda kuutafuta ubunge awanadhamira ya kweli ya kuwasidia wananchi. Wapigine chini.
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mzee Azim Dewji ni moja ya wale wapiga mapambio kinafiki

    Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi ningekuwa na wivu ningetaka kuona anafeli. Kwahiyo mzee wangu Azim Dewji ni wapiga mapambio kinafiki sababu labda kuna chochote kitu anatazima
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara, lakini hasara ni kubwa zaidi. Chama kinatekwa

    CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili kuitawala Serikali. Kwahiyo chama kinapaswa kuwa uhuru
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tunakwenda kwenye uchaguzi nchi ambayo aipo moja, tumegawika. Wengine awafanyi siasa kwa sababu wamefungwa mikono

    https://vm.tiktok.com/ZMAetPYNh/ https://www.youtube.com/live/WhVsx0zxeh0 Updates; CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa. Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Gwajima kafia wapi au kamezwa na Polepole?

    Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo? Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue...
  14. BLUE DOG

    JamiiForums Tanzania Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

    Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako. Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polepole huenda anahitaji usaidizi wa matibabu kuliko kitu kingine chochote

    Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole

    Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini? Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Polepole naomba maoni yako kuhusu uchangiaji wa kampeni CCM

    Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kwisha kwisha kabisa nyanga nyanga mlalo wa chali

    Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi. Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji I'm proud being seminarian
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanasubiri Polepole aongee ndo wapate chakuongea, kwasasa wapinzani hawana chakuongea jamii imewapuuza

    Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣 CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa imemaliza kero zote za Watanzania, mfano Watumishi wa umma wameongezwa mishahara...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu ajibu kuhusu Polepole Kumbeza

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom