Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903
Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini?

Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi wanaongelea na kulinda biashara zao ambazo zinategemea sana CCM
 
Polepole anagusa maslahi ya wafanyabiashara wa nchi hii akina Rostam na wengine ndio hao wanaochangia mabilioni CCM iendelee kuwaibia watanzania.
 
Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini?

Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi wanaongelea na kulinda biashara zao ambazo zinategemea sana CCM
Hao wafanyabiashara ndio wenye CCM yao, wakulima na wafanyakazi walipigwa chini tangu awamu ya JK, JPM akajitahidi kuwarejeshea chama chao akaondoka mapema na kuwaachia chama chao sasa wameshika udhibiti kamili na wanapambana na kila anayejaribu kukirudisha chama kwa Wakulima na wafanyakazi.

Vv
 
Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini?

Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi wanaongelea na kulinda biashara zao ambazo zinategemea sana CCM
Cha kushangaza, si wafanyabiashara tu bali hata Watanzania wa kawaida wapo wanaopinga hoja zake. Hivi nyie Watanzania, nani aliyewaroga!?
 
GyNb49_WUAAZHDd.jpeg
 
polepole ni kama virus wa nzi au mbu gentleman,

ni msumbufu na ni kero kama mbu na nnzi na usipomdhibiti unaweza kupata malaria au kipindupindu 🐒
 
Cha kushangaza, si wafanyabiashara tu bali hata Watanzania wa kawaida wapo wanaopinga hoja zake. Hivi nyie Watanzania, nani aliyewaroga!?
Kashafariki ...sasa sijui itakuwaje.
 
Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini?

Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi wanaongelea na kulinda biashara zao ambazo zinategemea sana CCM
Kwani yeye hatumii nguvu kuwashambulia?!!!
 
Awamu ya nne na ya sita wafanyabiashara na mafiisadi wanafanya chochote kwa mtu yeyote anayepingana na matakwa yao. Awamu ya tano mfanyabiashara haramu na fisadi alifanywa chochote kwa matakwa ya wananchi

Yawezekana hatuko mbali sana na ule mwisho kwani kabla ya chakula kuwiva shuruti kitokote vilivyo!
 
Hata Lissu hapo alipo ni kwa matakwa ya viongozi wasio waadilifu pamoja na matajiri wenye mali walizojipatia isivyo halali kumkandamiza na kumtesa kinyume na sheria. Mhaini gani yuko mmoja dhidi ya wananchi milioni 61?

Hao wamashahidi wa siri kama ndio wanajeshi aliokula nao njama kwanini hawakuunganishwa naye kwenye kesi ili hata mtoto mdogo adanganywe kwamba kweli inawezekana walitaka kumpindua mkalia kiti asiyejiamini?

Lissu ana madhara gani kama ccm wana mtaji wa wanachama na mashabiki wengi ukijumuisha matajiri na wawekezaji kuachwa aeneze sera zake na wananchi waamue kama ilivyotokea 2020 aliachwa akafanya kampeni hadi mwisho kisha wahuni wakamzunguka JPM wakaanza kumwinda ili kumharibia taswira.

Siku Lissu akija kugundua kwamba aliyemshambulia ndiye aliyekuwa akikutana na kufanya naye kazi hataamini kwanini alikuwa anamtuhumu JPM na Makonda kimazingira bila ushahidi!!!!

Mashahid wote wa siri baadhi yao ni wale walioenda C4C na wengine ni wale waliowahi kutumika kumlinda kipindi cha kampeni
 
Ukweli mchungu:

GyKOivhXQAE3X-h.jpeg

Ninakazia mwisho hauko mbali.

Sanaa ya vita i wazi kuliko wakati mwingine wowote.
 
Back
Top Bottom