polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia kuwa enzi za Magufuli na Polepole nchi ilikuwa totally crazy muwe waelewa. Haya hiki ni nini?

  2. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

    Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana. Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs Samia, wanamtandao na wahuni.

    POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs RAIS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika hili vita ambavyo Polepole ameianzisha. Acha tuone Tamani ya pambano la kisiasa baina ya Polepole Vs Rais. Tuone njia na mbinu, rasilimali zitakazotumika, na hatma ya pambano hilo. Nani ataibuka kidedea; Tunaanza...
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

    Ndugu Polepole, Salaam! Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:- (a). Uchaguzi ndani ya CCM; (b). Haki za kibinadamu; (c). Kalenda ya Uchaguzi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume amemuita Polepole ni msaliti na mnafiki mkubwa

    Wakuu hii ni kweli ?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

    Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA, "Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo! Anasema alipeleka ujumbe huo kwa...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tuwekeni hapa Summary ya Polepole ili watu waelewe

    Naanzia hapa na kila ukiweka update tutaipandisha hapa kwa faida ya wengi na kwa faida ya RAIS wetu mpendwa 1. Mwenyekiti amezungukwa na wana mtandao ambao wana maslahi binafsi 2. Mwenyekiti amuachilie Huru Lissu ili awezxe kuungana na familia yake 3. Kuna mastermind kwenye Kifo cha Magu 4. Kuna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mnaotajwa na Polepole jitokezeni mseme neno kama ni kweli au ni uongo tu

    Kama mtu akikutuhumu na kurudiarudia kuisema tuhuma hiyo mara nyingi kunaweza kutokea mambo mawili, ama watu kumpuuzia na kumuona chizi au watu watamuamini anachokisema na kumuona shujaa. Hasa pale ambapo anaetuhumiwa hata jitokeza kujitetea, kukanusha, kusema ukweli ni upii au kumpeleka...
  13. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwako polepole. Usiudhulie mazishi ya ndugai

    Unatuaminisha kuwa upo Tanzania. Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha Usijaribu kabisa utapotea.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

    Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha. Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane. Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana. Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram == Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok. Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je! Ndg.Polepole ataweza kuzima na kumaliza 'wanamtandao' ndani ya CCM na serikali?

    Kama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

    Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania. Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole? Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu? Tuache husuda, nchi hii...
  18. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Polepole na The Blacklist

    ,
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

    Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana. Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana. Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia...
Back
Top Bottom