polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM si tu wamevuruga uchaguzi wamevuruga na Nchi, na Amani yake

    Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua kuanzia kijiji chake hadi anapofanya kazi, ndugu zako wote nchi nzima nje ya nchi na mahali popote...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole tumemsikia lakini sasa tuendelee na Uchaguzi.

    Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole. Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM. Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi. Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki. Hii ni New World Order. Uhuru wa raia...
  5. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini. Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

    Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mwinyi alipigiwa Kura za Hasira, kumjibu Mwanamtandao alomtuma Binti awapigie Wajumbe Kumchagua Waziri Rashidi kugombea Urais Zanzibar

    Wakuu mambo ni MAZITO sana sana. Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais. Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli kugundua kua Walitaka Shamsa Vuai Nahodha awe Rais, na Wajumbe wote kukana kuwa hawana Mgombea. Jioni...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kama ccm wangekubali KUMWAGA oil, je polepole angeyasema haya ya mfumo(dukuzi)?

    Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

    Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka. Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa. Ndani ya muda...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Naishi kwa kificho, wananitafuta sana. Kwahiyo mimi kuongea ndio mnitafute?

    Polepole: Naishi kwa kificho, sio siri wananitafuta sana. Kwahiyo mimi kuongea huru ndio mnitafute?
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Majaliwa, Mpango hawaendelei, wewe nani hadi ulazimishe?

    Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team chawa siwaoni, njooni bana mmsaidie kutoa majibu kwa kiboko wa wahuni🤣🤣😂😂
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Namfatilia polepole naona anarudia yale yale tu .VPN X Kwa Godbless lema

    Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi USSR
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

    Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.” Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
Back
Top Bottom