Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

Pridah

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
1,995
Reaction score
4,011
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
 
Mpaka umekuja kumwanzishia uzi hapa manaake kawashika pabaya
 
Polepole hawezi kuitikisa CCM!

Kama Mrema na Lowassa walishindwa, Polepole atawezaje?
Ni kweli na hii trend yake ya kila siku anaongea hamalizi ndio watu wanazidi kumzoea na kumpuuza, alitakiwa aende direct to massive destruction point sio leo kagusa hili kesho kagusa lile anapoelekea watu watamchukulia mkosoaji kama wakosoaji wengine ambao wameshazoeleka.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Polepole ni kiazi tu

USSR
 
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawaz

CCM Hoiyeeeeee😃
Kama ana kera ni wewe na ccm kwa ujumla wenu!
Sisi wengine anatupa ambayo tusingeweza kuyapata asilani, hata hivyo hayupo kumfurahisha mtu.
 
Sawa mkuu sasa ukishayajua nini kinabadilika?
Tafakari KIUNDANI
 
Anacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.
Mengine watu walikua wakiyafahamu ila waliogopa kuongea.
Ndugu pole pole unafanya kazi mzuri, Watanzania wame ufahamu ukweli, inawezekana wakashindwa kuchukua hauta ila ukweli wame ufahamu.

Vilio vitakapo zidi katika Nchi, Mungu mwenyewe atachukua hatua na hakuna Mwanadamu atakaye zuia.
Kadri uovu unavyozidi katika Nchi ujue na maangamizi yana karibia.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Kile kichwa bapa hakina akili
 
Anacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.
Mengine watu walikua wakiyafahamu ila waliogopa kuongea.
Ndugu pole pole unafanya kazi mzuri, Watanzania wame ufahamu ukweli, inawezekana wakashindwa kuchukua hauta ila ukweli wame ufahamu.

Vilio vitakapo zidi katika Nchi, Mungu mwenyewe atachukua hatua na hakuna Mwanadamu atakaye zuia.
Kadri uovu unavyozidi katika Nchi ujue na maangamizi yana karibia.
Dua za kuku hizo. Wakati wa Magu we ulikuwa hujazaliwa? Mkiambiwa nyie ni nyumbu yaani zero brain muwe mnaelewa
 
Mama mchungaji wee deal na uokovu haya ya siasa yatakumix na dunia.
 
Anacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.
Mengine watu walikua wakiyafahamu ila waliogopa kuongea.
Ndugu pole pole unafanya kazi mzuri, Watanzania wame ufahamu ukweli, inawezekana wakashindwa kuchukua hauta ila ukweli wame ufahamu.

Vilio vitakapo zidi katika Nchi, Mungu mwenyewe atachukua hatua na hakuna Mwanadamu atakaye zuia.
Kadri uovu unavyozidi katika Nchi ujue na maangamizi yana karibia.
Sasa kama hakuna anayeweza kuchukua hatua si ndio tunarud kwa ninachoongea kuwa anachoongea hakina msaada wowote.Si sawa tu na kujua una kansa ila huna la kufanya kuzuia kifo.?
 
Nchi ndio ishajifia, watu tunaowategemea watuwakilishe nao wametugeuka.

Wananchi na sisi ndio basi tena kila mtu anaugulia kivyake, tunabaki kujipa moyo tu kwamba ipo siku😁

Me ninachokiona kwasasa ni kwamba kila mtu apambane na kula yake na ikitokea watu wachache wameamua kumwaga mboga na ugali kwa dhati kabisa basi tutawaunga mkono.

Na ikitokea mabadiliko ndani ya Taifa hili baada ya kizazi changu kutoweka, basi ni kheri pia.

Mungu tubariki wapambanaji wote nchi hii.
 
Back
Top Bottom