pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

    Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta. J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya take the podium in the athletics doping contest

    KENYA NI YA PILI DUNIANI KWA UDANGANYIFU KATIKA OLIMPIKI Ushindi wao hau sisimui, hauheshimiki na wala kuaminika tena, maana wanajulikana kwa udanganyifu. Daily chart Russia and Kenya take the podium in the athletics doping contest The shadow of pharmaceutical cheating still blights the...
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC Mabingwa wa Kombe la shirikisho kwa mara ya pili mfululizo

    Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba Ndoto ya kwanza nilianza...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

    vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
  5. JamiiForums Tanzania Msimu wa Pili wa Filamu ya Serengeti kutoka kesho

    Baada ya kupata umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa mtindo wake masimulizi, Msimu wa Pili wa Filamu Serengeti (Serengeti II) unarejea kuanzia kesho. Filamu hiyo inayosimulia maisha ya kila siku ya wanyama katika mbuga ya Serengeti nchini Tanzania inajitofautisha na filamu nyingi zinazoonesha...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

    Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎 mimi nasema: Wape Bia. Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna nguvu za kiume huna budi kuwa nazo ikiwa tu utataka kumfaidi mwanamke kunako 6 kwa 6, bila hivo...
  7. JamiiForums Tanzania Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

    Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp. Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika. Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo. Magroup sijui ya kabila moja simo. I feel good.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  10. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

  11. JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Inasikitisha sana wakuu
  12. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa Matumizi ya Meter Box

    Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme. Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo Jinsi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  14. JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Mbeya inashika nafasi ya pili kwa vyuo vingi?

    CHUO - SEHEMU MUST - Iyunga MCHAS (tawi la udsm) - Mjini TIA - Airport ya zamani MZUMBE - Foresti SAUT - Foresti UTUMISHI (tpsc) - soko matola ADEM - Foresti UCC (tawi la udsm) - uzunguni CBE – Mjini TEKU - Block T OPEN UNIVERSITY - Foresti TUMAINI - uyole KILIMO - Uyole USTAWI WA JAMII - Uyole...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao Yanga itashushwa madaraja mawili, serikali ijitetee hivi huko FIFA

    Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi ujao itashushwa daraja baada ya tarehe 3 july pale watakapogoma kuingiza team uwanjani vs simba. Hii...
  17. JamiiForums Tanzania Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

    Meghan amejifungua salama mtoto wa kike aliyepewa jina Lilibet Diana Winsor.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII. Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA Digital upande wa pili wameng’ang’ania ngazi

  20. JamiiForums Tanzania Rwanda imeanza zoezi la utoaji chanjo ya pili ya AstraZeneca dhidi ya COVID-19

    Awali wananchi hawa walitakuwa kuchomwa dozi ya pili ya AstraZeneca wiki nne baada ya chanjo ya kwanza dhidi ya virusi vya Corona kukamilika lakini haikuwezekana kutokana na sababu zisizozuilika, wizara ya afya nchini Rwanda ilisema Rwanda imeanza zoezi la kutoa chanjo ya pili aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…